Kama ndo hivyo mkuu kwa nini, wasile ya wanyama wengine? Ina maana binadamu ndo ana mfumo dhaifu wa kutofyonza virutubisho vyote?Kasome sayansi ya darasa la sita juu ya mfumo wa utoaji takamwili. Kinyesi siyo takamwili bali ni mabaki ya chakula ambacho hakikumeng'enywa vyema hivyo bado kina virutubisho vinavyowafaa wanyama wengineo!
Jibu ni ndiyo kwani hata kuku wa kienyeji nao ni wanufaika wa kinyesi cha binadamu.Kama ndo hivyo mkuu kwa nini, wasile ya wanyama wengine? Ina maana binadamu ndo ana mfumo dhaifu wa kutofyonza virutubisho vyote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupotosha umma kama umeshindwa cha kutolea mfano bora unyamaze tuu eti nguruwe na mbwa kula kinyesi cha binadam? Au labda huko maeneo ya kwenu wanakula kuna njaa labda ..Habari wadau,
Kama kichwa kinavohoji, nimekuwa nikijiuliza kinyesi cha mwanadamu kina nini? Mazingira ya vijijini ambapo watu hujisaidia maporini ni kawaida kukuta mbwa au nguruwe wakisaka vinyesi vya binadamu. Binafsi nimeshuhudia Mara nyingi kwa wanyama tajwa yaani kitimoto na mbwa wakifurahia kinyesi. Wataalam wa mifugo Wanasema nguruwe akila kinyesi cha binadamu ni rahisi kupata minyoo aina ya Taenia solium. "Cyst" au mayai ya minyoo hiyo husafiri kwenye mfumo na kutengeneza vipele vyeupe kwenye nyama. Nguruwe ni carrier wa vijidudu hivyo kwa sababu kiafya havimdhuru ila hiyo nyama ni hatari kwa binadamu. Madhara mojawapo ni ugonjwa hatari wa kifafa ambapo katika stage za juu hautibiki.
Baada ya ufafanuzi huo naomba wataalamu waniambie kwa nini hawa wanyama tajwa hula kinyesi cha binadamu na c ya wanyama wengine? Huwezi kumkuta mbwa au nguruwe akila kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, mbwa na wanyama wengineo. Kuna madini lishe gani katika kinyesi cha binadamu?
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tuu kwani yeye kanyimwa kula?Hizi kampeni dhidi ya nguruwe ili tusimle MSHINDWE na mlegee.
Tena akikuta mnyaji alikuwa kala makande au mahindi ya kuchemshwa yaani anafurahia sanaJibu ni ndiyo kwani hata kuku wa kienyeji nao ni wanufaika wa kinyesi cha binadamu.