Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,085
- 4,475
Iringa pia hatuwapatigoroko77, Huu ni wakati wa wasafi fm na Media zingine kutanua wigo wao,wapewe frequency katika maeneo mengi zaidi
Mwisho wao wakaribia, nguvu zitaelekezwa WASAFI.Tangu Ruge afariki yani kila kitu Clouds nacho ndio hivyo!
Kiukweli Clouds wamepotea sana
Hiyo Wasafi hata Online tu huwapati Redio inasikika Dar tu Sijui hawana hela ya kutandaza mitambo mikoani, kama hawana hela waende Clouds Media wawakoposhe.Walishapoteza mueleko,sikiliza Wasafi FM
Unapiga Ramli.Mwisho wao wakaribia, nguvu zitaelekezwa WASAFI...
Wasafi wanasikika mikoani?,mbona unampotosha mwenzako?Walishapoteza mueleko,sikiliza Wasafi FM
Wanasikika ila sio kwenye viredio mbao
Mbona unatumia a lot of energy kupigana na ukuta mkuu?we subiri hata hao mawingu hawakuanza ghafla ni suala la maandalizi na budget kumwaga frequency.Hiyo Wasafi hata Online tu huwapati Redio inasikika Dar tu sijui Hawana hela ya kutandaza mitambo mikoani, kama hawana hela waende Clouds media wawakoposhe
Mbona Clouds inakatakata sana kunani makao yao? Halafu gospel sasa kwa sana. Wameingiliwa nini? Au frequency zake zimeingiliana nini?
Sent using Jamii Forums mobile app