Kuna nini birthday ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli?

Ningependa tu kujua, hiyo birthday yake ina tija gani kwa Taifa? Maana "kiki" za kununua ndege, kujenga standard gauge, nk zimechuja! sasa mnakuja na kiki ya birthday!
 
Ni kweli sherehe ilifana sasa mpaka huko vijijini ndani ndani watu walikunywa na kufurahi mpaka majogoo
 
Ama hakika nimeona upendo wa ajabu kwa Watanzania walioonesha kwa Mhe. Rais maana wanasiasa hasa wapinzani wa Mheshimiwa Rais wananadi kwamba wananchi hawampendi mheshimiwa kutokana na kuongezeka kwa ugumu wa maisha, ila kwa hakika usemi huu nimegundua ni uzushi mkubwa.

Kwa ufupi naweza kusema ni unafiki na uzandiki wa wapinzani wa mheshimiwa; maana hizi shamra shamra nilizoziona za birthday ya Mheshimiwa Rais sijawahi kuziona ijapokuwa Mheshimiwa Rais sio hata mpenzi wa masuala ya birthday.

Yaani hata huku kijijini kwetu wakubwa kwa watoto wamejua kulikuwa na birthday ya Mheshimiwa, status za whatsapp kila nikichungulia wanaonizunguka naona HBD Mr president, na mimi niseme tu uishi miaka mingi Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli wananchi tunaupendo wa dhati sana dhidi yako .
Watu wamekapenda kale ka msemo "pumbavu"
 
Ilianza wakati wa JK na Sasa JPM. Lakini wao waliogopa Sana sherehee ziwe za kufana. JK watoto wake ndio waliokuwa wakizifanya. Clouds wakazihinfikia Kati wakati wRuge. Na angelijywepo hii lazima ingekuwa ikulu
 
Kila mtu anafanya ili aweze kuonekana
Ila badaye ukikaa mwenyewe na ukitafakari utajiona ulifanya kituko

Ova
 
Haitaweza kuwa hivyo Tanzania na UBASHIRI HUO USHINDWE KWA JINA LA YESU!
Inawezekana hata Yesu kaamua kutuacha tuu ili tujifunze wenyewe. Maana maandiko yanasema, mna macho lakini hamuoni, masikio lakini hamsikii basi acheni huyo Belshaza awa komeshe!
 
yesu wako wa Vatican hana jeuri hiyo, hata ukidhikiri uchi haji ng'ooo! mtasubiri sana, na hao wachungaji wenu wa kilokore watawakana!

Msukuma na bath day wapi na wapi. sijakosea narudia ''bath day ya mkulima rais''
 
Ama hakika nimeona upendo wa ajabu kwa Watanzania walioonesha kwa Mhe. Rais maana wanasiasa hasa wapinzani wa Mheshimiwa Rais wananadi kwamba wananchi hawampendi mheshimiwa kutokana na kuongezeka kwa ugumu wa maisha, ila kwa hakika usemi huu nimegundua ni uzushi mkubwa.

Kwa ufupi naweza kusema ni unafiki na uzandiki wa wapinzani wa mheshimiwa; maana hizi shamra shamra nilizoziona za birthday ya Mheshimiwa Rais sijawahi kuziona ijapokuwa Mheshimiwa Rais sio hata mpenzi wa masuala ya birthday.

Yaani hata huku kijijini kwetu wakubwa kwa watoto wamejua kulikuwa na birthday ya Mheshimiwa, status za whatsapp kila nikichungulia wanaonizunguka naona HBD Mr president, na mimi niseme tu uishi miaka mingi Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli wananchi tunaupendo wa dhati sana dhidi yako .

Since tarehe 7/11 una likes 6 tu!

This shows how mawe is mawe for real!

The nigga got no love from his subjects!

No love at all!

Its scary!
 
Ama hakika nimeona upendo wa ajabu kwa Watanzania walioonesha kwa Mhe. Rais maana wanasiasa hasa wapinzani wa Mheshimiwa Rais wananadi kwamba wananchi hawampendi mheshimiwa kutokana na kuongezeka kwa ugumu wa maisha, ila kwa hakika usemi huu nimegundua ni uzushi mkubwa.

Kwa ufupi naweza kusema ni unafiki na uzandiki wa wapinzani wa mheshimiwa; maana hizi shamra shamra nilizoziona za birthday ya Mheshimiwa Rais sijawahi kuziona ijapokuwa Mheshimiwa Rais sio hata mpenzi wa masuala ya birthday.

Yaani hata huku kijijini kwetu wakubwa kwa watoto wamejua kulikuwa na birthday ya Mheshimiwa, status za whatsapp kila nikichungulia wanaonizunguka naona HBD Mr president, na mimi niseme tu uishi miaka mingi Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli wananchi tunaupendo wa dhati sana dhidi yako .
Wanaccm sio watz,futa utanzania sema wanaccm wajingajinga hawatofautiani nawale wa kwenye bonge
 
Back
Top Bottom