Kibaya chajiuza , kizuri jajisitiri.
Huko unakosema wanawake wananyanyaswa wanaishi kama malikia.
Hapangi foleni, habanani kwenye gari na wanaume, halipi bili yoyote ya nyumbani hata kama ana pesa zake binafsi, wanaongoza taasisi na makampuni makubwa. Wako mawaziri na viongozi serikalini, havai nguo za kuonesha utupu.