Kuna namna hailo sawa

Kuna namna hailo sawa

vipanda thamani

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2022
Posts
567
Reaction score
894
Watanzania ni kama tunapita kwenye tanuru la moto kutokana na makosa tuliyofanya wenyewe,
Tuliaminishwa rsis Magufuli ni mbaya sana lkn kwenye macho ya wengi alikuwa mkombozi wa wengi sasa ogopa sana ktk maisha umpoteze mkombozibwa wengi kinachofuata huwa ni majuto kwa wengi wito wangu ni kumrudia Mwenyezi Mungu kwa maombi atusamehe na kutupatia nafas ya pili kinyume ya hapo Ndugu zangu liko giza nene mbeleyetu.
Eee mwenyezi Mungu tukumbuke nchi yetu tuko kwenye midomo ya mamba nia yao itumize tuangamie kabisa.
 
Hata dhahabu lazima ipitishwe kwenye tanuru la moto ndio iwe na thamani, watupe miiili ya vijana wetu tukazike
 
"Watanzania ipo siku mtanikumbuka" mkulungwa alishasema sisi ni nani wa kumbishia, eee mwamba huko uliko yule mama uliyemuona ni mama bora anatunyonga usiku na mchana, ee mkulungwa utuombee sisi huko mbinguni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom