Kuna mwingine anahitaji atm pin?

Sasa kama unajua Calculus kwanini usichukue ATM card uende bank ku withdraw mkwanja?

Sijapewa ATM card wala hiyo hesabu ya ku calculate ili nipate PIN number.

My baby boo hana shida ya kufanya hivo, mie siombi mtu hela wala sitegemei kugharamiwa na mtu. Najigharamia mwenyewe na yeye anajigharamia mwenyewe. Siku nikijiskia nampa ofa kiroho safi hata asiponipa ofa wala silalami. Na yeye siku akijisikia ananipa ofa au zawadi au kunigharamia bila kujali kama mie ntamfanyia vivo hivo na tunaelewana na huyu partner wangu.... dadii... vacation spoiler wangu.

Mahaba tuu ndo huwa tunapeana mara kwa mara.

Kasie Mahaba Matata.
 
Nahisi PCM au PGM ilikuhusu wewe..... hongera babaa.

In vino veritas..... In Aqua Sanitas.... cheers!!

Hahah, huwezi amini i was a science prodigy in olevo ila advance nikashift EGM, i guess it was Gods plan
 
Hahah, huwezi amini i was a science prodigy in olevo ila advance nikashift EGM, i guess it was Gods plan

hahahahhaa uko vizuri aiseeeh, Economics ilikuwaje??

Looks like olevo ulikuwa seminari....!!!

Kidoogoo tungefanana hehehehee
 
hahahahhaa uko vizuri aiseeeh, Economics ilikuwaje??

Looks like olevo ulikuwa seminari....!!!

Kidoogoo tungefanana hehehehee

[emoji23][emoji23] yeah right. Eco is the simplest sub on earth aisee
 
Kasie Leo umenifurahisha sana...kama hutamaindi nakukaribisha iftar leo jioni.
 
Nampa mtu anisolvie then nikitoa pesa nae nampa, yaani nitaikwangua account kama alivyonikomoa na mimi.
 
Unajua ,,,kila mtu anamjua mtu wake vyema,anajua hawezi chomoa hapo,hata kwa upanga
 
Siku akikumwaga nitakudaka mimi
 
Nampa mtu anisolvie then nikitoa pesa nae nampa, yaani nitaikwangua account kama alivyonikomoa na mimi.
Unaeza solve alafu unaenda kuta account haina hata pesa ya kutosha kuangalia salio [emoji23] [emoji23]
 
Pin ipo kwenye swali la differentiation...

Awe anakumbuka na kujua kuzitumia hizo formula...

Cc: mahondaw
 
Hahahahaaa duuh sijui lakini nisiusemee moyo.

Mwenyewe anasemaga mie na yeye hatuachani bali tunapeanaga nafasi ya muda halafu tunarudi kuwa bennet bampa to bampa.
Okay. Basi ukiwa kwenye hiyo likizo
 
The dude knows you nini au he has catched a glimpse of your elephant body [emoji23] [emoji23]

Atakuwa ashatumiwa picha yangu huko wasap au PM...

Hajui kuwa mie sijuagi kujivunga, wee uache ajilete shauri yake mie namzamisha tuu ndani aki suffocate shauri yake akishiba na kuridhika kazi kwake.

Kasie Old Granny
 
Hahaha haha, fuc.k yu, dirty as fuc.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…