Kuna mwingine anahitaji atm pin?

Hhahahahahhahahahhaaaaaaaa

*** him...

Maaamaaaaeeee zakeeee waalaahiii aahahahahhahahahhaa. Huyo ni sawa anakwambia kweeendraaaa huku anakulazimisha ubaki looh.

Ndo maana huwa napenda kujigharamia mwenyewe na kujifanyia mambo yangu mwenyewe. Sitegemei mtu yeyote yule, gharama zangu ni wajibu wangu sio mtu mwingine.

Pole kwa huyo gelofrendii hahahhahaaa, hasa kama alisomea HKL au KLF aahahahahhahaaa

I can see how her face looks like.

Ila hata kama huyo girlfriend hakusoma hesabu au hakusoma kabisa, kwa ulimwengu huu wa teknolojia, unalikopi hilo swali kwenye simu kisha unawatumia watu wali solve kuhakikisha wanapata tarakimu 4. Sasa boyfriend akirudi jioni ndo atashaa kukuta shopping ilifanyika kama kawaida hehehehheeee.
 

Hahaha
 

Calculus haijawahi kumuacha mtu salama, mambo ya D.E hayo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tena unakomba kasalio kote anakuta nyumba imesheheni mazaga.
 
Calculus haijawahi kumuacha mtu salama, mambo ya D.E hayo [emoji23][emoji23][emoji23]

Hahhahahahaaa Calculus was my best numbers, sijui ilikuwaje ila ilitokea kuwa naziweza sana na nazijua mnoo. Kinyume chake sasa, mie aljebra ndo ilinisumbua.
 
Hapo wa HKL sasa hiyo ni adhabu ya bamnsa kumpa mbuwa wa muhindi anyanyue [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tena unakomba kasalio kote anakuta nyumba imesheheni mazaga.

Hhahahahahhaaa kama alinuia kukukomoa akirudi akikuta hivyo lazima anune au aanze kuumwa ghafla hehehehheee.
 
Hesabu nyepesi sana hyo..demu wangu anaifanya akiwa amefumba macho..

Labda nimtandike swali la siasa
 
Hahhahahahaaa Calculus was my best numbers, sijui ilikuwaje ila ilitokea kuwa naziweza sana na nazijua mnoo. Kinyume chake sasa, mie aljebra ndo ilinisumbua.
Sasa kama unajua Calculus kwanini usichukue ATM card uende bank ku withdraw mkwanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…