Kuna Mwenye swali kwa dada wa taifa Mange Kimambi? Je wajua mtandao utazimwa kuanzia sasa umejipangaje kukabiliana na hali hiyo?

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Naitwa Tesha kwa asilimia mia moja nipo na Mange katika ukombozi wa Taifa hili lakini tutambue kuwa mitandao ni silaha kubwa sana kuhakikisha tunatoka kwa namba kubwa. ushauri wangu hakikisha una VPN za aina zote ingia Play store na App Store pakua zote kikubwa tusipoteane siku hiyo.

Mwenye mbinu zakukabiliana na changamoto ya Intanet itakapozimwa Tanzania atoe maoni wote nia ni moja SAMIA MUST GO!!!!!!!!!!!! na watanzania wenzetu waliotekwa na serikali yake wapatikane wote, katiba mpya ipatikane ili tuwatie Gerezani maharamia wote JELA.
 
Tukichukua inchi kwanza tunavamia kigamboni kwenye ile nyumba ambayo wanafichwa watu....Mlinzi yoyote tukimkuta pale ni halali yetu sisi wenyewe no jokes....Na Ikulu pia inabidi ichukuliwe vile vile
 
Naitwa Tesha kwa asilimia mia moja nipo na Mange katika ukombozi wa Taifa hili lakini tutambue kuwa mitandao ni silaha kubwa sana kuhakikisha tunatoka kwa namba kubwa. ushauri wangu hakikisha una VPN za aina zote ingia Play store na App Store pakua zote kikubwa tusipoteane siku hiyo.

Mwenye mbinu zakukabiliana na changamoto ya Intanet itakapozimwa Tanzania atoe maoni wote nia ni moja SAMIA MUST GO!!!!!!!!!!!! na watanzania wenzetu waliotekwa na serikali yake wapatikane wote, katiba mpya ipatikane ili tuwatie Gerezani maharamia wote JELA.
Vpn ya 1 million dollar
 
Back
Top Bottom