Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,733
- 27,094
kikubwa utulivi ulindwe hivyo naunga mkono wazo lolote juu ya kulinda amani ya nchi ..,chini ya mama yetu kipenzi
Vpn zipo za kumwagaNaitwa Tesha kwa asilimia mia moja nipo na Mange katika ukombozi wa Taifa hili lakini tutambue kuwa mitandao ni silaha kubwa sana kuhakikisha tunatoka kwa namba kubwa. ushauri wangu hakikisha una VPN za aina zote ingia Play store na App Store pakua zote kikubwa tusipoteane siku hiyo.
Mwenye mbinu zakukabiliana na changamoto ya Intanet itakapozimwa Tanzania atoe maoni wote nia ni moja SAMIA MUST GO!!!!!!!!!!!! na watanzania wenzetu waliotekwa na serikali yake wapatikane wote, katiba mpya ipatikane ili tuwatie Gerezani maharamia wote JELA.
Watazima baadhi kwani hawataki Dunia ijue kuwa watu hawakujitikeza kupiga kura na wao wana kura zao mifukoni za kujitangazia ushindi hewaHawawezi kuzima internet maana vitu vingi sana vinategemea internet ,labda wablock access ya "sosho media"....Wakizima internet hiyo mifumo yao waliongunisha wata-access vipi maana siyo yote inapatikana kwa LAN/WAN.
Hawana uwezo wa kuzima internetWakizima internet, VPN zitafanya kazi?
Hawawezi kuzima ,TIPS ,SWIFTX na miamala inategemea TIX(interenet)....watakachofanya ni kuzuia(block) baadhi ya IPs za social media kama walivyofanya kipindi cha magu waliminya hadi whatsapp.akili za chawaccm wanazijua wenyewe kuzima internet hawashindwi kwani hawajali hasara inayopatika kwa kuzima internet
🤣😂 Bado hujasema mkuu