RUV ACTVIST. JF-Expert Member Jan 14, 2012 472 110 Jan 28, 2012 #1 Mzee Abdul Jumbe aliandika vizuri sana kuhusu serikali tatu, kunamwenye nakala ya hicho kitabu? hofu yangu CCM wamekificha ni watu wachache sana wanacho, so kama tunaweza kupata soft copy.
Mzee Abdul Jumbe aliandika vizuri sana kuhusu serikali tatu, kunamwenye nakala ya hicho kitabu? hofu yangu CCM wamekificha ni watu wachache sana wanacho, so kama tunaweza kupata soft copy.
mmbangifingi JF-Expert Member Mar 9, 2011 2,839 559 Jan 28, 2012 #4 mmoja aende akumuulize c nasikia yupo kigamboni? huenda anayo copy atusaidie kufahamu nasi leo
RUV ACTVIST. JF-Expert Member Jan 14, 2012 472 110 Jan 28, 2012 Thread starter #5 Mnyika alikuja nacho siku moja kwenye Mdahalo, hatuwezi kucontact?
Lambardi JF-Expert Member Feb 7, 2008 16,545 17,436 Jan 28, 2012 #6 Ndio hatma ya muungano!!lazima tuje tufike serikali 3...maana hivi hatutaenda kamwe!!tunaomba mwenye nacho akiweke jamvini tupanue wigo wa uelewa
Ndio hatma ya muungano!!lazima tuje tufike serikali 3...maana hivi hatutaenda kamwe!!tunaomba mwenye nacho akiweke jamvini tupanue wigo wa uelewa
N Nonda JF-Expert Member Nov 30, 2010 13,358 4,304 Jan 28, 2012 #7 Kitabu kinaitwa The partner-ship: Tanganyika-Zanzibar union : 30 turbulent years Pia kimetafsiriwa kwa Kiswahili, muungano wa Tanganyika na Zanzibar : miaka 30 ya dhoruba Google utapata mwelekeo wapi utaweza kukipata.
Kitabu kinaitwa The partner-ship: Tanganyika-Zanzibar union : 30 turbulent years Pia kimetafsiriwa kwa Kiswahili, muungano wa Tanganyika na Zanzibar : miaka 30 ya dhoruba Google utapata mwelekeo wapi utaweza kukipata.
Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Nov 20, 2010 1,802 282 Jan 28, 2012 #8 wekeni hicho kitabu tuchambueeee.......
J JokaKuu Platinum Member Jul 31, 2006 30,484 55,104 Jan 28, 2012 #9 ..anaitwa Alhaj Aboud Jumbe Mwinyi, siyo Abdul.
Barubaru JF-Expert Member Apr 6, 2009 7,161 2,323 Jan 28, 2012 #10 sio Abdul Jumbe bali ni Aboud Jumbe.