youngxulesh
Member
- Jul 18, 2018
- 33
- 23
N ngumu Sana kiufup Hamna Kwan grade nowadays zimekuwa Za juu hivyo vigezo pia vinabana cha msingi apo dogo atumie cheti cha form 4 kuapply diploma Kam atataka vinginevyo haiwezekanWakuu habari zenu.
Nina mdogo wangu aliemaliza kidato cha sita, mchepuo wa PCB. Nakupata alama zifuatazo
Physics E
Chemistry D
Biology E
Bam E
Je kuna mtu wa mfano wake aliomba akachaguliwa?
Je endapo ataomba kwa dirisha la pili lililofunguliwa mnamo wiki hii anaweza kuchaguliwa?
Majibu tafadhali!