Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 583
Nawashangaakwani mmekosa mada naona chenga tu hapa.....
Nawashangaakwani mmekosa mada naona chenga tu hapa.....
Sio ubakaji ni udhalilishaji kwa sheria za Tanzania na nchi zote za jumuiya ya madola hakuna kosa la kubaka/ kubakwa kwa mwanaume. Haipo kabisa.Mapenzi sio mpaka kuingizwa pipe hata kunipapasa maeneo ambayo ni sehemu mahususi za kufanya mapenzi (viungo vya uzazi) bila ridhaa ya muhusika nao ni ubakaji pia
Ha ha ha ha ha sumbai sio mzima wewe et akitaka tu lazma umfanye dah nmecheka sanaMkuu watu wanabakwa saana.
Kubakwa maana yake ni hali ya kulazimishwa kufanya mapenzi pasio ridhaa yako. Sometimes unaweza kuwa na hisia lakini hujaridhia kufanya tendo husika.
Wadada wengi saana wanatufanyiaga haya mambo. Sema kwa vile sisi hatuna nguvu ya kusema basi tunakubali.
Kuna binti mmoja dah miaka hiyo alikuwa ananitesa saana. Yani hutaki ila ataninyanyasa kisaikolojia paka najikuta shetani kanizidi ujanja.
Yani akitaka tuu, lazima umfanye. Niliapa kutomsamehe
Najaribu tu kuwaza kisheria utathibitishaje kua umebakwa?Mapenzi sio mpaka kuingizwa pipe hata kunipapasa maeneo ambayo ni sehemu mahususi za kufanya mapenzi (viungo vya uzazi) bila ridhaa ya muhusika nao ni ubakaji pia
Mkuu nadhani labda haujui tu. Ila erection of penis ni involuntary process. Yaani unaweza ukaambiwa kabisa kwenye challenge kuwa unatamanishwa na mwanamke na ukidinda utafyatuliwa risasi ya kichwa, na demu akianza tu manjonjo yake uume unasimama regardless ya hatari ga kifo..!Nauliza tu swali hapa
Mwanamume gani anayebakwa?
Maana hadi pipe inasimama na inaingia kwa mwanamke, hujabakwa bali umepandisha hisia intentionally!
Sote tunajua, sex ni tukio la kisaikolojia, kama mwanamume hutaki kufanya, basi pipe haisimami.
Kwaiyo as long as pipe imesimama na ukapigishwa show, basi hujabakwa.
Kwahiyo kwangu mimi hakuna mwanamume anayebakwa
Nenda boarding schools za wasichanaNatangaza rasmi nipo tayari kubakwa na mwanamke natamani sana,polisi msije kumsumbua mwanamke atakae nibaka