Hujajibu swali uliloulizwa, na swali ulilojibu hujaulizwa...hata wanaoamini vitu (kama ng,ombe) pia waamini kuna higher power beyond hivi vitu...na ndiyo essence ya hiki kitabu rejea nlichokwambia usome...na hujakielewa hadi sasa....soma bro.....
Mungu gani? Mimi naanzia kwa kummulika huyu Mungu anayesemwa kwamba ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.Mkuu hebu jibu hili swali Nini maana ya Mungu?
hakikisha simu yako ina app inayoweza kufungua pdfNatumia simu jamani,
Hiki bado mkuu lakini vitabu kama cha siri za Solomon mfalme na vinginevyo ukisoma na nuksi zinakujia juu.Umeshakisoma,hiki kinagusa wapi?
Naona apps ni ya kulipia au ata free inafaaUrantia Book nimeisoma mara tano ,au mara kumi,au mara kumi na tano,au zaidi.
Kuhusu hiki kitabu nadhani No Comment is the best comment.
There is nothing special about the book. There are some inaccuracies.
Jambo moja ni significant. Wanasema ata the Center of creation,there an Island ,a Physical Island called "Paradise" ambako Mungu anaishi. Hili jambo linapata support kwenye Maandiko mengine .
Nilikuwa New Mexico( Marekani),nimealikwa katika nyumba ya mtu,kwenye shelf niliona pale kitabu,"How the Urantia Book was written". Hiki kitabu nakitafuta kwenye internet,sikionj,jambo ambalo linanifanya nifikirie labda Urantia Book imeandikwa na watu wahuni.
Haya mambo labda ni somewhat important lakini kama unataka spirituality labda usome Tsongkapa,The Great Ecposition of Secret Mantra au Six Yogas of Naropa.
I notice Ile posting iliyokuwepo hapa sasa hivi ya yule mtu anatrack safari za ndege ya Rais Samia imeondolewa JF. Nilikuwa nimedown ile app ya Live Flighf Tracking,nilikuwa sasa naitafuta namba ya ndege ya rais wetu mpendwa( mpendwa na Dunia yote).
Asante sana,ngoja nipitieHIcho hapo
Hiki ndo nakitaka zaidiSawa,endelea kusoma huenda utapata mengi zaidi,chapter 4 inazungumzia Yesu alikuwa anafanya nini ndani ya miaka 18 ambayo haijaandikwa kwenye bibilia,hapo unahisi alikuwa na elimu gani?
Okayhakikisha simu yako ina app inayoweza kufungua pdf
Nataka niyajue nisiyoyajua kuhusu huyu mwokozi.Kwanini?unataka kujua Yesu alifanya nini ile miaka 18?