Na Mungu akubariki sanaUnafanania Baba Mchungaji japo huu upande wa leo umezidi bana. Kwani si ajabu Jumamosi na jumapili zikatumika kutafakari hiki ulichokiandika na ikifika jumatatu watu wakawa wapya kabisa. .
Ndio, hicho hicho kidogo ulichobarikiwa ni vzr kushea na ndugu zako ungeweza kaa hata kimya usingeweza kushare na sisi.
Haya Nakupa salam Mtani in Nugaz voice. 😀Tuma salamu, nasubiri kuzipokea.
Toooba. 🙆♀️Hahaahaaaaa.....
Leo sija amka na mning'inio, sababu jana nilikuwa mapumziko...teh[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amiin Insha Allah na iwe kwetu sote Baba Mchungaji.
Ahsante mkuuNdio, hicho hicho kidogo ulichobarikiwa ni vzr kushea na ndugu zako ungeweza kaa hata kimya usingeweza kushare na sisi.
.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nAuNgA mKoNo Hoja!
Hakika mkuuUgomvi, Chuki na manyanyaso.. ni pando la yule ibilisi shetani.
Mama mkwe, huku kwetu mimi mi mzee wa kanisa na ninategemewa sana kwenye jumuiya yetu.Hata @ushmen ana soma bible, kweli siku za kuishi siyo nyingi, tena hujaa taabu, asante wamesikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mh mjumbe.Sawa ndugu mjumbe,nawe tekeleza hiki ulichokinena hapa,
Ubarikiwe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
There's only one solution.
Mimi ni baba wa watoto sita na mume wa mke wangu tena wa ndoa ya kanisa tulio fungia pale Kigamboni RC.Ha ha ha tunashukuru kwa ujumbe ila Nina wasi wasi wewe ni SINGLE FATHER and if not niondoe kwenye hii shaka yangu
Am wait
Thank youMimi ni baba wa watoto sita na mume wa mke wangu tena wa ndoa ya kanisa tulio fungia pale Kigamboni RC.
Bilashaka nimekujibu kwa ufasaha mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app