Kuna Mtu yoyoyte yule Ajuaje Dawa ya kutibu Kansa ya mifupa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna Mtu yoyoyte yule Ajuaje Dawa ya kutibu Kansa ya mifupa?

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Aug 25, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Wakuu Wa JF kuna rafiki yangu ana mtoto wake wa Umri wa Miaka 7 anasumbuliwa na Kansa ya mifupa je Wadau Wa JF munaweza kunisaidia atumie dawa gani ili aweze kupona huyo mtoto wake? Naombeni msaada wenu ndugu zangu Wana JF nitashukuruni kwa mawazo na msaada wenu ndugu zangu Wa Jf asanteni sana.
   
Loading...