Haliko tena katika uso wa dunia alas! Dar es salaam. Badala yake kuna jengo refu lenye maduka.
Enzi zake lilisifika kwa vitendo viovu ukizingatia kulikuwa na ukumbi wa starehe - wakipiga bendi kama Fovets of Margots ( bendi iliyokuwa ya akina Marehem Kasheba ENZI HIZOOOOOOOOO).Pia kilikuwa kituo cha starehe cha mabaharia kutokana na ukaribu wake na bandarini.Ngoja utasikia mengi zaidi kutoka kwa wenyewe wenyeji wa DSM akina GT.
nasikia hii magot iliwapa utajiri akina dada wengi sana walio wahi mjini nyakati hizo,sababu soko lilikuwa kubwa sana na biashara hiyo ilikuwa ikiogopwa kufanywa na dada zetu!!