kuna mtu mwenye div 2 au 3 aliyepata mkopo

kuna mtu mwenye div 2 au 3 aliyepata mkopo

Wapo ata art wamepewa pesa yakutosha m 3.6 wengine 3.4

nani kakwambia 3.6 au 3.4 mil ya huo mkopo zinatosha,halafu mtambue si kwamba mtapewa yote kwa mkupuo,ila mtapewa kwa awamu 2 au 4,hapo akili ku mkichwa na ndo mtajua kama zinatosha au mtaandamana,
 
Kachek watoto wa baf mzumbe tumelamba mbayaa' lakin tuna one na sio 3
 
yah wengi tuu mkuu wanapata loans issue sio perfomance.
 
Aaaaaa best hi nchi imebadilika knoma mi nilikuwa na dvsion 3 ya 16 lakin nimelamba mkopo wa 3,962,500 nimewapiga bao hata wenye dvsion 1 na 2 daaaa siamin Tuipende nchi yetu, i love uTz, nitakulinda mpaka kufa!
Asa 16 mbona ata principle mbili hazipo au ni credit 4 ndo znafka
 
Aaaaaa best hi nchi imebadilika knoma mi nilikuwa na dvsion 3 ya 16 lakin nimelamba mkopo wa 3,962,500 nimewapiga bao hata wenye dvsion 1 na 2 daaaa siamin Tuipende nchi yetu, i love uTz, nitakulinda mpaka kufa!
mmmh 3 ya 15 umepata mkopo .. course gan unaenda piga na alama zako zipoje una A or B or C Or D and E F ?? ngap eeb tuma tuone
 
mmmh 3 ya 15 umepata mkopo .. course gan unaenda piga na alama zako zipoje una A or B or C Or D and E F ?? ngap eeb tuma tuone
Embu angalia kwanza muda iyo ilikua wakati wa jk na huu ni wakati wa nan!!? kipindi icho malalamiko hayakua makubwa tofauti na uyu jamaa alivoingia
 
Back
Top Bottom