kuna mtu mwenye div 2 au 3 aliyepata mkopo

Ckia dv haipo kwenye vigezo vya kupata mkopo,kuna jamaa zangu mbona wamepewa na 3 tena za 15,16
 
Samhani naomba msaada jinsi ya kuyapata majina waliopata mkopo,maana niwefungua web ya heslb sitayapata
 
hivi nlikua naomba mnitonye habar ya mtu aliyepata mkopo kwa div 2 au 3
Aaaaaa best hi nchi imebadilika knoma mi nilikuwa na dvsion 3 ya 16 lakin nimelamba mkopo wa 3,962,500 nimewapiga bao hata wenye dvsion 1 na 2 daaaa siamin Tuipende nchi yetu, i love uTz, nitakulinda mpaka kufa!
 
Kozi gani science au arts?, education?. Is it possible kuwa mtu wa div 3 ya LLB, amepata. tafadhali
mi BEDA (education in arts)lakn piga bonge la mkopo chezea tz weye ubaguz kwenye mikopo haupo kwa kgezo cha ufaulu wengne tunasoma mazngra magumu sasa lazma ufaulu utakuwa poor wao wanataka 2 principal pass tu
 
HADI Non priority wamepiga mpunga kila mtu na nyota yake ila Tusikate tamaa kwa waliokosa nikuanzisha harakat za kufuatilia mungu yupo atawasaidia
 
acha hzo me mwenyw nina zote mia tena nachukua internation business..... so haijalishi kama una tatu au 2 dvs..... hii ndo ccm bhana. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI......... Hoya ni masihara tu msiaze siasa.....
 
Back
Top Bottom