Kuna mtu kapewa hii noti ya elfu 10. Je, ni halali?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,796
6,671
Wakuu kuna mtu wangu kapewa sh 40,000 za hizi noti za zamani zenye sahihi ya Mramba na Balali. Ni mpya kabisa ila kinacho nishangaza ni sahihi ya Mramba na David Balali. Anasema jamaa wa m-pesa kamwambia amezitoa benki na ukiziona kweli ni mpya kabisa
20200727_184543.jpeg
 
Japo ni kwenye picha mie naziona ni zenyewe but kama utataka uthibitisho zaidi naweza nikakupa namba yangu ukanitumia nizihakiki uso kwa macho kisha nikurudishie.by the way.....huyo anaye-doubt kuhusu hizi pesa anaonekana hazishiki mara kwa mara eti?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom