Habari zenu wakuu hapo nyuma kulikuwa na idadi ya watu tofauti tofauti walikuwa wakitumia Your Freedom kwa kulipia.
Hasa kwa mtandao wa Tigo na Ttcl. Nilitaka niilipie ila nilitaka nijue kwanza kama kwa sasa bado inafanya kazi au ilishafungiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.