Sinatabia yaku commet kwenye nyuzi mbalimbali hua nasoka na napita zangu ila hii imeni gusa sna. Inaonekan Elimu ya mtaani huna kabisa ndugu kama kuna possibility yoyote pambana upate haki yako, Ila kwa leo ishi na hiiMimi ni kijana niliye maliza masomo yangu mwaka huu, kipindi nikiwa chuo nilikuwa najiwekea akiba kutoka kwenye boom langu ili nikimaliza basi niwe na mtaji ili nianze kufanya biashara, nimefanikisha kuwa namtaji .TZS.1000000/= tarehe 2.9.2020 nilienda wilaya ya simanjiro (manyara)kijiji cha kimotoroki kufata samaki aina ya kambale nili nunua samaki 2000 walio gharimu Tzs. 900000 hapo kuanzia manunuzi hadi kuwabanika kwa moto, niliwasafirisha hadi dodoma kwenye soko la chang'ombe ambapo niliwasiliana na boss ambaye alisema anachukua mzigo wote ananipa pesa yangu siku hiyo hiyo. Tulifungua samaki akahesabu akapata samaki 1385 kati ya samaki 2000 kutokna na usafiri hao wengine walivunjika hivyo hawakuhesabiwa hiyo ilikuwa tarehe 18/9/2020 , kwa samaki 1835 ilitakiwa anipe TZS. 900250 ila aliomba pesa yangu atanitumia baada ya siku tatu,basi kiungwana nikakubali mimi nikaondoka nikijua pesa ata nitumia hadi sasa hajanitumia pesa na nikimtafuta simu hapokei Wala sms hajibu, Leo nimemtafuta kapokea kaniambia niende dodoma nikafate samaki wangu ,baada ya kumsumbua sana kuhusu pesa yangu, naomba msaada wenu wa mawazo mimi ni mtoto wamvuvi tena mvuvi wa hali ya chini na mama anafanya uchuuzi wa samaki ila mala nyingi matapeli kama hawa wanatufanyia hivi tukipeleka mizigo sokoni
Ukitaka kumtia nguvuni je una ushahidi?
Mimi ni kijana niliye maliza masomo yangu mwaka huu, kipindi nikiwa chuo nilikuwa najiwekea akiba kutoka kwenye boom langu ili nikimaliza basi niwe na mtaji ili nianze kufanya biashara, nimefanikisha kuwa namtaji .TZS.1000000/= tarehe 2.9.2020 nilienda wilaya ya simanjiro (manyara)kijiji cha kimotoroki kufata samaki aina ya kambale nili nunua samaki 2000 walio gharimu Tzs. 900000 hapo kuanzia manunuzi hadi kuwabanika kwa moto, niliwasafirisha hadi dodoma kwenye soko la chang'ombe ambapo niliwasiliana na boss ambaye alisema anachukua mzigo wote ananipa pesa yangu siku hiyo hiyo. Tulifungua samaki akahesabu akapata samaki 1385 kati ya samaki 2000 kutokna na usafiri hao wengine walivunjika hivyo hawakuhesabiwa hiyo ilikuwa tarehe 18/9/2020 , kwa samaki 1835 ilitakiwa anipe TZS. 900250 ila aliomba pesa yangu atanitumia baada ya siku tatu,basi kiungwana nikakubali mimi nikaondoka nikijua pesa ata nitumia hadi sasa hajanitumia pesa na nikimtafuta simu hapokei Wala sms hajibu, Leo nimemtafuta kapokea kaniambia niende dodoma nikafate samaki wangu ,baada ya kumsumbua sana kuhusu pesa yangu, naomba msaada wenu wa mawazo mimi ni mtoto wamvuvi tena mvuvi wa hali ya chini na mama anafanya uchuuzi wa samaki ila mala nyingi matapeli kama hawa wanatufanyia hivi tukipeleka mizigo sokoni
Dah mzee ili usijepata msongo wa mawazo ukawaza jiua...chukulia Kama ajali kazini ulizohonga...kaa chini subiri vyeti utafute ajira...mzee biashara haikufai..umepigwaUshadi wa vibali na ushulu kwa sasa sina nimetafuta sana risti ya malipo ya mzigo ya serikali sijaiona pia niliamini biashara nimisha maliza hivyo kibali cha kusafirishia mzigo kilisha pita muda wake labda shaidi kipindi namuuzia alikuwepo
Sinatabia yaku commet kwenye nyuzi mbalimbali hua nasoka na napita zangu ila hii imeni gusa sna. Inaonekan Elimu ya mtaani huna kabisa ndugu kama kuna possibility yoyote pambana upate haki yako, Ila kwa leo ishi na hii
"If you expect the world to be fair with you because your fair you're fooling yourself. That like expecting the lion not to eat you because you don't eat lion"
Dogo anaandika alichoota usikuBiashara gani ya kukopesha halafu unapata faida ya 250/=
Dah mzee ili usijepata msongo wa mawazo ukawaza jiua...chukulia Kama ajali kazini ulizohonga...kaa chini subiri vyeti utafute ajira...mzee biashara haikufai..umepigwa
Dah basi pole kamanda kikubwa uhai endelea mkazia mdeni..nnachoogopa kwakua huna ushahidi usijejikuta unatumia gharama zaidi...Best wishes mkuu....kikubwa mi nna neno hata Kama nmeumia je miaka mi5 mbele Bado maumivu yatakuepo??then nasonga mbeleNo siwezi jinyonga kisa hiyo pesa no no big no pia kwa sasa sina ndoto ya kutafuta ajira maana ajira zenyewe ni changamoto kupata ndomana nilikuwa najidunduliza ili nijikwamue after studies
Dah mzee ili usijepata msongo wa mawazo ukawaza jiua...chukulia Kama ajali kazini ulizohonga...kaa chini subiri vyeti utafute ajira...mzee biashara haikufai..umepigwa
Kama huna vibali na nyaraka za kuuziana inaonesha nako huna. Wewe utakuwa ni mzembe tu. Tunajifunza kutokana na uzembe ila kwa hili jiandae kisaikolojia maana asilimia kubwa ni kukosa. Jaribio la mwisho ni kwa mama yako. Likifeli huna pa kumpeleka maana huna nyaraka huo utakuwa ni uzembe wako. Kwa mtazamo tu naona ni hadithi ya kufikirika. Huwezi nunua mzigo kwa hela yote kwa mara ya kwanza kwa ubahili uliokuwa nao mpaka ukaweza kumake 1m. Hivyo hadithi yako ina mapungufu mengi na hivyo hujaweza kuitunga vizuri maana ina gap nyingi zisizounganika hata kidogo.Ushadi wa vibali na ushulu kwa sasa sina nimetafuta sana risti ya malipo ya mzigo ya serikali sijaiona pia niliamini biashara nimisha maliza hivyo kibali cha kusafirishia mzigo kilisha pita muda wake labda shaidi kipindi namuuzia alikuwepo
Unafuaje Samaki Dodoma Wakati Mmeshafanya Biashara
Hapo Dodoma Hilo Soko Linaitwa Mavunde
Labda Ningependa Kujua Ulimpa Mzigo Mkiwa Mnafahamiana Ama Ikoje Hii
Shahid alioshuhudia mkiuziana, what if akakuruka watu ni waoga kutoaga ushahidi mahakamani, je una plan B?
Siyo umeshauza sema ...Siku mficha kama unavyo dhani mkuu mama huko aliko mawasiliano shida hadi wa anze wao kukutafuta hivyo amenitafuta nikiwa nimisha uza
Kwa mtazamo wewe ni mzembe kwenye uwekezaji kama ni kweli. Kwa maelezo yako yanatia wasiwasi kama ni kweli. Kama huyo mtu aliwahi fanya biashara na mama yako na hivyo wanafahamiana vizuri, na wew una vielelezo vya kutosha mwambie mama yako amwendee akamdai maana atamlipa ila kwako kukulipa wew kama wew halitakuwepo isipokuwa kama una nyaraka halali za biashara na nyaraka za kukopeshana zipo vizuri. Kama nyaraka huna muombe mama yako amwendee na amdai walau unaweza kuambulia hata nusu ya hizo hela.
ππππSiyo umeshauza sema ...
Mama kanitafuta nikiwa nishagawa sadaka.
Siyo umeshauza sema ...
Mama kanitafuta nikiwa nishagawa sadaka.