BadoJamani ni kweli second selection za TCU zishatolewa ama bado wana jf????
Acheni umbumbumbu bhana, MTU aliye pata division two na akajipendekeza kuomba kozi ya ushondani mkubwa mfano MD,pharmacy lazma aachwe na aliyepata three akaomba kozi zisiZo na ushindani ni lazma apate bhanaAsante Kulwa maana watu wengine wanazingua mtu kapata division 3 amepangiwa chuo wewe na two yako ya 10 hujapata, acha jamaa akurushe ooh! mara second selection tiyari kumbe bado