immasakha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 489
- 282
Licha ya nacte kufungia vyuo ambayo havina sifa ya ku-admit wanafunzi kwa ngazi za diploma na degree, nimebahatika kusikia chuo kimoja kinaitwa Royal pharmerceutical Traininga Center kinapatikana mkoa wa daresalam maeneo ya temeke kinatoa koZi ya ufamasia kwa ngazi ya diploma.
Je! Yupo ambae anakifaham hiki chuo? Na utoawaji wake wa elimu juu ya hizo fani ukoje?
NB: Ninataka nimpeleke mdogo wangu
Je! Yupo ambae anakifaham hiki chuo? Na utoawaji wake wa elimu juu ya hizo fani ukoje?
NB: Ninataka nimpeleke mdogo wangu