Wenda hauko sawa kichwani hivi hii propaganda ya Iran kupiga hovyo mnakuwa mnaisema kwa misingi ipi?Jana wanadiplomasia 4 wa Iran, kufika tu Lebanon, wote wakauawa! Unafikiri hicho ni kitu rahisi? Walijuaje kuwa wanadiplomasia wa Iran wanaenda Lebanon? Walijuaje watakuwa wapi muda huo? Kumfuatilia kiongozi hadi kumwua tena wakati na yeye anachukua tahadhari za kiusalama, siyo jambo rahisi. Lazima tukubali kuwa intelijensia ya Israel ipo mbali sana ukilinganisha na ile ya Iran.
Na kama Israel ingeamua kupiga ovyo kama inavyofanya Iran, sahizi ingekuwa ni maelfu ya Wairan wamekufa..
Israel na Marekani wanajifahidi sana kuepuka mauaji ya raia ili wawananchi wa Iran wawaunge mkono katika kuuondoa utawala dhalimu na katili wa Ayafollah. Hata hivyo, kama waswahili wasemavyo, vita haina macho, bado kuna raia wa Iran wameuawa.
Mtego upi wewe yule Spy wao alikuwa General Ismail Qaan ndiye aliye wauza kina Nasurlah, Seifdin na makamanda wa Hezboullah time wanauliwa alikuwa Lebanon na kuhusu makamanda wa Iran na Ayatollah Ali Khomen yeye pia alihusika sa Israel ni vigumu kufanikiwa baada ya huyo Ismael Qaan kuny'ongwa au kukimbia watapata wapi infomation tena.Kuna mtego ambao iran anaingia pasipo kujua
Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Lsrael wana uwezo wa kujua siri za ndani ya iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa iran walipo na kuwaua je washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa iran?
Je kama walijua Iran ni tishio kwao kwanini wali attack iran ?
Je kwanini wanawekeza nguvu zao nyingi katika kujitetea na kuonyesha dunia kuwa wanaonea ? Kama umefatilia vizuri vita hivi zaidi upande wa israel wamekuwa wakionyesha huruma kuwa wanaonewa iran inashambulia makazi ya watu. wao wana shambulia vituo vya kijeshi
Kwanini wanashindwa kutangaza vita kamili zidi ya iran?
Ukijiuliza maswali yote haya utagundua kuna hesabu za mbali zinapigwa hapa ambazo matokeo yake yatakuja kujulikana hapo mbeleni kidogo tuombe uzima tu
Angalia taswira ya askari wa pembeni ni mmoja na huyo wa nyuma ya binti. That means wameiduplicateInawezekana akawa ni mtoto wa mkubwa akapandishwa vyeo ambavyo hastaili, ila vitani wanaenda wale waliotakiwa kuwa na vyeo staili.
😁😁😁Sasa mtego gani huo ambao hata wewe huujui unaishia kuleta hisia tu kama wanawake wanavyofanyaga
www. Facebook.com umejaribu huko mkuu?? kuna wayahudi wa kisukuma wapo tayari kushusha Amina za kutoshaKuna mtego ambao Iran anaingia pasipo kujua
Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Israel wana uwezo wa kujua siri za ndani ya Iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa Iran walipo na kuwaua. Je, washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa Iran?
Je kama walijua Iran ni tishio kwao kwanini wali attack Iran ?
Je kwanini wanawekeza nguvu zao nyingi katika kujitetea na kuonyesha dunia kuwa wanaonea ? Kama umefatilia vizuri vita hivi zaidi upande wa Israel wamekuwa wakionyesha huruma kuwa wanaonewa na Iran inashambulia makazi ya watu,wao wana shambulia vituo vya kijeshi.
Kwanini wanashindwa kutangaza vita kamili zidi ya Iran?
Ukijiuliza maswali yote haya utagundua kuna hesabu za mbali zinapigwa hapa ambazo matokeo yake yatakuja kujulikana hapo mbeleni kidogo tuombe uzima tu
Kuna mtego ambao Iran anaingia pasipo kujua

Hiyo vita ilipofikia kwa sasa ni kufeli kwa intelijensia ya USA na Israel kufanya regime change nchini Iran hapo hakuna timing yeyote maana kambi za USA kwenye nchi nyingi za kiarabu zimepigwa sasa timing gani hapo au ndiyo miujiza??Kuna mtego ambao Iran anaingia pasipo kujua
Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Israel wana uwezo wa kujua siri za ndani ya Iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa Iran walipo na kuwaua. Je, washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa Iran?
Je kama walijua Iran ni tishio kwao kwanini wali attack Iran ?
Je kwanini wanawekeza nguvu zao nyingi katika kujitetea na kuonyesha dunia kuwa wanaonea ? Kama umefatilia vizuri vita hivi zaidi upande wa Israel wamekuwa wakionyesha huruma kuwa wanaonewa na Iran inashambulia makazi ya watu,wao wana shambulia vituo vya kijeshi.
Kwanini wanashindwa kutangaza vita kamili zidi ya Iran?
Ukijiuliza maswali yote haya utagundua kuna hesabu za mbali zinapigwa hapa ambazo matokeo yake yatakuja kujulikana hapo mbeleni kidogo tuombe uzima tu
USA hana huwezo hata wakupigana na China nimefuta ilo wazoHizo hesabu walishindwa kuzipiga wakati wanachezea kichapo kule Vietnam na Afghanistan hadi wakafungasha virago kwa aibu?
Ukweli ni kwamba Iran anao uwezo mkubwa wa teknolojia ya zana za kivita ndiyo maana anajipogia popote atakapo ndani ya ardhi ya Israel pamoja na kuzichakaza kambi zote za Marekani mashariki ya kati.
Kumbuka Marekani na Israel wana mifumo imara sana ya ulinzi wa anga lakini umeshindwa kuzuia makombora ya Iran. Hadi hapo bado unaibeza nguvu ya Iran?
Iran anazitandika nchi zaidi ya kumi kwa mpigo na kwa shabaha halisi bado unapigwa propaganda za miaka ya 80?
Huwez kuelewa sababu ya stereo type ambayo tumekua tukiimbiwa miaka yote mpaka sisi wengine tulipoamua kuwa open minded na kuyatafuta maarifa bila mipakaKwenye mambo ya intelijensia Israel yuko mbele sana, huwezi mcompare ni Iran
Unadhani Muajemi hayajui hayo unayoyahisi wewe? Anachosumbuka nacho miaka nenda rudi ni lile kundi dogo la makabila ya kusini ambayo ni almost 20% ya population ya hao ambao kwa kiasi kikubwa ndio wauza taarifa za Muajemi kwa Israel ila pamoja na yote Muajemi kwa intelijensia ni mwamba kupitiliza. Achana na stereo type tuliyolishwa miaka nenda rudi ya Israel na Marekani kuhusu intelijensia zao.
Huu ni ukweli mchungu sana.Kila mtu kaona iran kachangiwa na mataifa mawili , inatosha kabisa kusema Israel peke yake bila marekani ni mchumba tu kwa iranView attachment 3556273
Mzungu sio fala- hii kauri mtaielewa siku mojaKuna mtego ambao Iran anaingia pasipo kujua
Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Israel wana uwezo wa kujua siri za ndani ya Iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa Iran walipo na kuwaua. Je, washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa Iran?
Je kama walijua Iran ni tishio kwao kwanini wali attack Iran ?
Je kwanini wanawekeza nguvu zao nyingi katika kujitetea na kuonyesha dunia kuwa wanaonea ? Kama umefatilia vizuri vita hivi zaidi upande wa Israel wamekuwa wakionyesha huruma kuwa wanaonewa na Iran inashambulia makazi ya watu,wao wana shambulia vituo vya kijeshi.
Kwanini wanashindwa kutangaza vita kamili zidi ya Iran?
Ukijiuliza maswali yote haya utagundua kuna hesabu za mbali zinapigwa hapa ambazo matokeo yake yatakuja kujulikana hapo mbeleni kidogo tuombe uzima tu
Kuna mtego ambao Iran anaingia pasipo kujua
Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Israel wana uwezo wa kujua siri za ndani ya Iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa Iran walipo na kuwaua. Je, washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa Iran?
Je kama walijua Iran ni tishio kwao kwanini wali attack Iran ?
Je kwanini wanawekeza nguvu zao nyingi katika kujitetea na kuonyesha dunia kuwa wanaonea ? Kama umefatilia vizuri vita hivi zaidi upande wa Israel wamekuwa wakionyesha huruma kuwa wanaonewa na Iran inashambulia makazi ya watu,wao wana shambulia vituo vya kijeshi.
Kwanini wanashindwa kutangaza vita kamili zidi ya Iran?
Ukijiuliza maswali yote haya utagundua kuna hesabu za mbali zinapigwa hapa ambazo matokeo yake yatakuja kujulikana hapo mbeleni kidogo tuombe uzima tu
Kwani bado huwajui watz walivo wataalam wa vita za mbele?Kwamba wewe ndio una akili sana kuliko hao Wairani umeweza kung'amua kabla yao