Yeah ni kweli tatizo linakuwaga kwenye airtime tu mana inabidi kila ukitaka kuweka vocha urudi kwenye account yako mtandaoni ujaze amount ulipe kwa PayPal ama card.Nimesoma zinauzwa mtandaoni kati ya dolari 5 hadi 30.
nahis ttcl wanayo mzee jaribu kuwafikiaofisini watakujuza.Kama mnavyojua kua kuna baadhi ya simu mpya kuanzia iPhone XS and above, Google Pixels na baadhi ya Samsung kua zinasupport dual SIM lakini moja ni physical sim card na nyingine ni eSIM ambayo carrier wanakuwekea. Je kuna mtandao wowote hapa bongo wana offer eSIM?
View attachment 1661088
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Hata mimi ndio leo nimeliona hili na japo sijaenda shule kama wewe ila nimeelewa hivi....Kwanza tujuze unachozungumzia kina maana gani Kwa sie tusioenda shule.
Na Je. Wat impact
Yaani eSIM ni SIM card ambayo ipo ndani ya simu na carrier anaweza kuijaza data za mtandao husika ila iweze kufanya kazi. Fikiria kma sim card isiyotoka ndani ya simu na ni programmable.Hata mimi ndio leo nimeliona hili na japo sijaenda shule kama wewe ila nimeelewa hivi....
eSIM ni line ambayo inakuwepo kwa mtoa huduma wewe unapatiwa connection ya hiyo line tuu.... mfano haujawahi kukutana na modem au Simu za promosheni zisizo na line na ukaawa unaweza kuzirecharge na ukatumia japo hizo hazina maana ya hii eSIM..
SINA UHAKIKA NA UELEWA WANGU.
Ok sasa nimekupata.... kwa lugha rahisi tuseme simu za sasa zonakuja na line empty ikiwa katika hardware zake hivyo mtoa huduma anaipatia number na setting nyingine... basi kwa hili linawezekana kabisa sijui wanapokwamia.Yaani eSIM ni SIM card ambayo ipo ndani ya simu na carrier anaweza kuijaza data za mtandao husika ila iweze kufanya kazi. Fikiria kma sim card isiyotoka ndani ya simu na ni programmable.
Ni kma hizo modem na simu za promotion ulizosema.
Mm nna uhakika carrier wetu wanaweza fanya hyo kitu sababu wanaweza fanya hvo kwenye simu za promotion ni kwamba tu hawajaweka hii huduma public
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app