miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Kuna msichana nampenda lakini yeye nahisi hanipendi nikimtumia meseji hajibu anasema hana credit .Kisa kwamba nilshawai kumtongoza akanikataa ni miezi sita sasa namfuatilia mpaka nimechoka yeye anataka nimpigie simu mimi tu .
Alipokwambia hana credit ukachukua hatua gani?.......sasa upigiwe cm vp wakati hana credit?ameona chenga tu maana vocha tu mtihani je kizinga kingine si ndo chaliiiiii!!!!!