Kuna msichana ananipenda

binadamu bwana.....!!!kuwa mkweli ni dhambi..????si bora umwambie mapema..!!aumie wee lakini mwisho wa siku atakubali hali na atasonga mbele kuliko kumpotezea muda wake....!!!mwaka mzma angekua kashamove on siku nyingi sanaaa...!!acha kumpotezea muda mtoto wa watu..........:angry:
 
sasa unatuambia sisi kwamba tujue unapendwa ama ni vipi?
 
Umejuaje kama anakupenda sanaa? anaweza kusema anakupenda kumbe anakuzuzua2..
 
hama kweli yaani wewe unahondomola 2 kila siku baada ya kuona umelipanua sana unasema humpendi siku zote izo ulikua uanampotezea mda wake 2 eeeeeeeeee
 
....a bird in hand....




....You are being Selfish, let her Go!
 
Hivi vivulana vya siku hizi nishai kweli
 
ukishikwa shikamana, me nikpata aliyejufa na kuoza sigeuki nyuma, najua ntafanyiwa ya kumzidi malkia, ya nini nimpende mtu asiyenipenda nianze kubeba mzigo wa misumari
 
Bora umwambie ukwelimbreak up wakati huu kuliko kufunga naye ndoa ndipo aje kugundua kuwa upo naye jst b'se of pitty na sio love,hiyo inaumiza sana''knowing that your husband/wife yuko nawe kwa sababu fulani tofauti na mapenzi''maumivu atakayoyapata brekin with her after marriage ni makubwa kuliko maumivu atakayoyapata ukimwacha this time,soo jikaze kiume uend ralation yenu kuepuka ndoa yenye kuleta majuto na guilty feelings hapo baadae.there is still plenty of time for both the two of you searching for your life spouses,msipotezeane muda bure.
 
Mwambie ukweli kuwa humpendi kama yeye anavyokupenda ataumia lakini siku zikienda atazoea na kukushukuru kwa kuwa mkweli kwake kuliko kukaa kimya
 
hunabudi kumwambia ukweli!kwani kadri unavyokaanae ndivyo unavyo mjengea matumaini ya kuolewa nawe,huku umuhitaji.mwambie ukweli,uwe huru nae awe huru.
 
Hapa nimeona ratio kubwa sana huko mbele.usiposema ukweli sasa ibilisi akimbie utakuja Juta huko mbeleni
 
Msuuze mara ya mwisho mwisho kisha mbwage ila jua huto pata kama huyo kamwe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii huzuni unayokuwa nayo kila mnapokuwa pamoja inasababishwa na nini hasa? Funguka banaaa!!!!

 
Kuanzisha uhusiano ambao wenye mashaka toka awali ndio matokeo yake. Mweleze tu kwa busara atalipokea hata kama ni kwa machozi
 

heee!!! hivi kumbe huwa najikomba kwako hunipendi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…