Kuna mnyama namtafuta jina wajuzi naombeni jibu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,580
44,825
Kuna mnyama nataka ni mtafute documentary zake YouTube ila simjui jina lake. Sifa zake ni pamoja na kuwa na kucha ngumu sana na ana uwezo wa kuchimba udongo. Ukubwa wake ni kama nguruwe na ni jamii fulani ya nguruwe. Naskia hata simba hawez kumuweza. Akirarua na makucha yake yenye nguvu anatoboa mpaka utumbo. Common name yake nani? Wanatasisi nisaidien
 
nadhani nlishwahi kumuona tbc tena anafukua vichuguu na anapenda kutembea night jina me mwenyewe holaa!
 
Anaitwa muhanga
 
Kuna mnyama nataka ni mtafute documentary zake YouTube ila simjui jina lake. Sifa zake ni pamoja na kuwa na kucha ngumu sana na ana uwezo wa kuchimba udongo. Ukubwa wake ni kama nguruwe na ni jamii fulani ya nguruwe. Naskia hata simba hawez kumuweza. Akirarua na makucha yake yenye nguvu anatoboa mpaka utumbo. Common name yake nani? Wanatasisi nisaidien
Mkuu huyo sio jamii ya nguruwe sema wanafanana kimaumbile.. Huyo atakuwa aadverk au kwa kiswahili anaitwa muhanga (naweza kuwa nmekosea)
 
Mnyama ni huyu kiswahili anaitwa muhanga.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1470505637877.jpeg
    uploadfromtaptalk1470505637877.jpeg
    8.3 KB · Views: 91
The babyrousa original huyu hapa.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1470506572009.jpeg
    uploadfromtaptalk1470506572009.jpeg
    7 KB · Views: 90
Anaitwa Aardvark kitaalamu! Dodoma na Singida ni wengi sana, anauwezo wa kuchimba shimo la ulalo wa 50mtrs kwa dk chache Sana, mahame yao ni nyumba za fisi na majoka makubwa.
Asante sana. Napenda kujua mengi kuhusu huyu mnyama nimeskia stori zake mahali singida vijijini
 
Back
Top Bottom