Kuna mnyama namtafuta jina wajuzi naombeni jibu

Kuna mnyama nataka ni mtafute documentary zake YouTube ila simjui jina lake. Sifa zake ni pamoja na kuwa na kucha ngumu sana na ana uwezo wa kuchimba udongo. Ukubwa wake ni kama nguruwe na ni jamii fulani ya nguruwe. Naskia hata simba hawez kumuweza. Akirarua na makucha yake yenye nguvu anatoboa mpaka utumbo. Common name yake nani? Wanatasisi nisaidien
anakula mchwa?
 
article-2594114-0CE519BB000005DC-361_634x386.jpg
Hahaaaaa mkuu umefanya nicheke kwa sauti...:):)
 
Back
Top Bottom