Habari za usiku huu watoto, vijana na wavyele pia.
Sitaki kuelezea hadhi na jinsia ya Mwanamke, bali natafuta ithibati na uhakika wa kauli hii: "Kila Mke ni Mwanamke lakini si kila Mwanamke ni Mke"
Wanandoa wote karibuni sana, bila shaka kauli hii mnaweza kuipa haki yake katika maana sahihi. Kwa kunionyesha je ina ukweli ndani yake au ni kinyume chake?