Kuna mjane kaniganda sio poa

Sawa,"analima huko Sumbawanga"kama unapenda kulima lima basi jipange...
 
ukimuendekeza huyo,mwaka wako mmoja tu unalamba mchanga na yeye atafungua maduka manne makubwa kuzidi hayo alionayo sasa.
hiyo ndio michezo ya wamama wa ukinga na umalila.
 
Umekaa sehemu gani hapo?
Nipo nje hapa kwa fundi viatu ,nimevaa shati jeupe na suruali ya kitambaa cheusi .

Nina tumbo kubwa lisilomithirika niko na savanna mkononi ,naongea kuliko yeyote hapa tulipokaa .

Kichwani sina nywele hata moja ila sura ina kovu kubwa upande wa jicho la kulia ,nina lafudhi ya Dar es salaam ila najitahidi kuificha .

Karibu utaniona chap kwa hizi sifa kedekede
 
Mmepima? Wajane wa Mbeya wengi wameungwa gridi ya taifa..!!
We jifanye chizi mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…