Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,157
- 166,113
Bora kuwa Fala kuliko kuwa mjanja, maana ndege mjanja Daima hunaswa na Tundu bovu.Kaka huo mtihani... mgumu zaid ya calculus II
Naloli nkamu, isya mandoliniimbombo ngafu
Lekaga mihayo tulaga muzikiNaloli nkamu, isya mandolini
Wacha maneno piga muziki,.... Makoye getehLekaga mihayo tulaga muziki
Manyaumba, manungayembe na magumegume mliomshinda mtume MNA taabu sana, wacha tu yawakuteni.Mfano ;- wewe umempenda mwanamke ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa ,, mkalala kitandani ,,usiku wa manane mara mkasikia hodi ,, Binti akakuambia jifiche uvunguni ' ukajificha" akafungua mlango ,, akakuta watu wameleta maiti ya bibi yake ,, wakaja kuiweka kitandani ,, huku wewe ukiwa umejificha chini ya uvungu wa kile kitanda mpk asbh ,, ukicheki watu kibao wamejaa sebuleni mpaka nje ,, je ! utafanyaje na nguo kalalia marehemu ?
Lazima ujue kazi ya moyo hapo kama ni kusukuma damu au kupenda.
Umeona ehhhh.Binafsi yangu nikiambiwa mgonjwa kalazwa sitolala pale, bora hata tuahirishe mechi
Ni shabiki na mpenzi wa Simba ndio mwenye akili za chooni za kulala kwa raha huku akikoroma ukweni.Umeona ehhhh.
Lakini unaanzaje dume zima kwenda kulala kwa bibi wa demu wako?
Huogopi hata kuchukuliwa msukule? Vibibi nuksi ati.
Umeona ehhhh.
Lakini unaanzaje dume zima kwenda kulala kwa bibi wa demu wako?
Huogopi hata kuchukuliwa msukule? Vibibi nuksi ati.
Na maiti iko juu ya Nguo ulizokuwa umevaaHapo Wewe huna Ujanja zaidi Ya Demu wako Huyo... Kama Ana akili nzuri Atakuokoa Huko Chini