na wengi wanaishi watoto wa mnyazi munguUlishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne! Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia yenye gari na kama lipo ni mkweche! Wanawake ni kupiga majungu na wanaume vijiwe vya kahawa na draft!.
Ndo nikagundua sio tu kuwepo kwa familia zilizolaaniwa, lakini pia kuna mitaa iliyolaaniwa! Kuna vijiji/kata zimelaaniwa! Kuna wilaya zimelaaniwa (kama wilaya ya kisarawe)! Kuna miji imelaaniwa miji mingi katika mikoa ya pwani, Tabora na kigoma! Unapokuwa unatafuta maisha fanya uchunguzi wa mitaa/kata/wilaya/miji unayoenda vinginevyo hutoboi! Mwisho wa siku lazima hali yako ya maisha iendane na wao! Nikagundua nyuma ya pazia kuna wachawi wanakaa katika malango ya njia kuratibu kila anayekuja na kuishi hapo na kumpiga tukio! Haya mambo magumu sana kuelewa!
Uko sahihi kabisa!Ila Mungu akiamua watu hutoboa kama mwanamziki...dmdTandale.Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne! Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia yenye gari na kama lipo ni mkweche! Wanawake ni kupiga majungu na wanaume vijiwe vya kahawa na draft!.
Ndo nikagundua sio tu kuwepo kwa familia zilizolaaniwa, lakini pia kuna mitaa iliyolaaniwa! Kuna vijiji/kata zimelaaniwa! Kuna wilaya zimelaaniwa (kama wilaya ya kisarawe)! Kuna miji imelaaniwa miji mingi katika mikoa ya pwani, Tabora na kigoma! Unapokuwa unatafuta maisha fanya uchunguzi wa mitaa/kata/wilaya/miji unayoenda vinginevyo hutoboi! Mwisho wa siku lazima hali yako ya maisha iendane na wao! Nikagundua nyuma ya pazia kuna wachawi wanakaa katika malango ya njia kuratibu kila anayekuja na kuishi hapo na kumpiga tukio! Haya mambo magumu sana kuelewa!
Na hayo maeneo ni yale ya wastaafu wa zamani walijenga kwa tofali na bati na ni nyumba ya vyumba sita.sema ni zamani sababu choo nje na urefu wa nyumba ni çozi 8 .na viwanja vina hati sema ni high density.maji umeme upo na ni karibu na lami au lami ipo.Tatizo letu ni kuhusianisha kika kitu na ushirikina. Inachekesha kuona kwamba nchi zilizoendelea hua zinaliona bara zima la Afrika ni kama limelaaniwa kwa jinai lilivyo nyuma, wakati huo huo eti na sisi humu ndani tunanyoosheana vidole kwamba eneo fulani limelaaniwa..😆😆
Wakati kiuhalisia sisi wote ni giza tupu tofauti ni ndogo sanaa..
Na unalegezwa Kweli au Maneno tu?kigoma kuna mtaa unaitwa legeza mwendo
Hakuna cha laana wala mdogo wake laana;Hapo lilikuwa ni suala la muda tu.Kipind nkiwa mdogo kijijini kwetu hamna aliekua na gari ila watu walikua wanamiliki ng'ombe nyingi wanahama nao, mara Moro goro, wengine Manyara park.
Watoto walikua hawamalizi shule wanachunga wanaoa na kuolewa mapema [emoji848]nawaza je hyo ni laaana?
Saiv nikienda pale pale kijijini umeme upo, maji ya kutosha, bara bara zipo watu wamejenga sana na vyombo vya usafiri vipo[emoji848][emoji848][emoji848]sasa nawaza kama ile ilikua laaana imemalizwa na nn?
Hiyo ndio laana yenyewe.Hakuna laana,
Hizo hali unazoziona katika hayo maeneo ni umaskini tu uliokithiri ukilinganisha na sehemu nyingine.
Arusha kuna kata ya Ungalimited,Mabinti hawaolewi.wanazaa hovyo hovyo.Taja mtaa mmoja
Keko Magurumbasi bondeni, kuna umasikini mkali sana pande zileKuna ka ukweli hapa.....cc mitaa ya keko Dar
Unapajua Mtaa wa mavi, mianzini Arusha?Mtaa wa bongonyoo Arusha
Mkuu umefika chekereni nyuma ya bar ya mrutu... Ni kwere pande zileUnapajua Mtaa wa mavi, mianzini Arusha?
Unapajua mtaa wa dhambi kule sanawari ya juu?
Huko kuna kila aina ya uchafu
Unamaanish kota wanapokaa mandava/polisi? HahahahaBasi mitaa ya kota imelaaniwa
Kabisa ila angalau chuo cha DUCE kimepunguza makaliKeko Magurumbasi bondeni, kuna umasikini mkali sana pande zile