Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,165
Hakuna laana,Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne! Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia yenye gari na kama lipo ni mkweche! Wanawake ni kupiga majungu na wanaume vijiwe vya kahawa na draft!.
Ndo nikagundua sio tu kuwepo kwa familia zilizolaaniwa, lakini pia kuna mitaa iliyolaaniwa! Kuna vijiji/kata zimelaaniwa! Kuna wilaya zimelaaniwa (kama wilaya ya kisarawe)! Kuna miji imelaaniwa miji mingi katika mikoa ya pwani, Tabora na kigoma! Unapokuwa unatafuta maisha fanya uchunguzi wa mitaa/kata/wilaya/miji unayoenda vinginevyo hutoboi! Mwisho wa siku lazima hali yako ya maisha iendane na wao! Nikagundua nyuma ya pazia kuna wachawi wanakaa katika malango ya njia kuratibu kila anayekuja na kuishi hapo na kumpiga tukio! Haya mambo magumu sana kuelewa!
Ndo laana yenyewe!Hakuna laana,
Hizo hali unazoziona katika hayo maeneo ni umaskini tu uliokithiri ukilinganisha na sehemu nyingine.
Muache Apotee.....Taja mtaa mmoja
Mwisho wa siku lazima hali yako ya maisha iendane na wao! Nikagundua nyuma ya pazia kuna wachawi wanakaa katika malango ya njia kuratibu kila anayekuja na kuishi hapo na kumpiga tukio! Haya mambo magumu sana kuelewa!
Kama umeishia Dar mitaa ya Mwananyamala, Tandale na Temeke nadhani utamuelewa mtoa mada.Taja mtaa mmoja
Mtaa wa 'Makanyagio' mbele ng'ambo ya pili ya barabara ya Chuo cha Mkwawa IringaTaja mtaa mmoja
Laana imeshughulikiwa na kuondolewa! Wanga na wachawi walihama! Biashara za ukahaba na njia chafu za uzembe na uvivu zilishughulikiwa!Kipind nkiwa mdogo kijijini kwetu hamna aliekua na gari ila watu walikua wanamiliki ng'ombe nyingi wanahama nao, mara Moro goro, wengine Manyara park.
Watoto walikua hawamalizi shule wanachunga wanaoa na kuolewa mapema [emoji848]nawaza je hyo ni laaana?
Saiv nikienda pale pale kijijini umeme upo, maji ya kutosha, bara bara zipo watu wamejenga sana na vyombo vya usafiri vipo[emoji848][emoji848][emoji848]sasa nawaza kama ile ilikua laaana imemalizwa na nn?
Taja tu mtaa 😀😀Msiiseme mitaa vibaya ndio iliyotulea hiyo. Mfano wewe ndo umezaliwa mtaa huo ndio kwenu hapo kwenye mtaa huo babaako ana duka ambalo kilakitu hakuna na kilasiku lipo wazi duka lina fidge lakini linawekewa machupa matupu ungefanya nini rabda.MITAA IMETULEA
Ukiangalia kwa jicho la 3.....utaona mguu wa Yesu haukupita mahala hapo.Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne! Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia yenye gari na kama lipo ni mkweche! Wanawake ni kupiga majungu na wanaume vijiwe vya kahawa na draft!.