Kuna mgombea aliwahi kufika kisiwani Mafia?

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,159
9,241
Wakuu nimewaza tu nje ya box je katika historia ya campen za 2015 na 2020 je Kuna mgombea urais aliwahi kufika kule kisiwani Mafia?

Inavyoonekana wilaya hii ya mkoa wa Pwani ni kama imesahaulika kuwa ni sehemu ya Tanzania.
 
..sijawasikia wagombea Uraisi.

..lakini nimemuona Zitto Kabwe akiwapigia kampeni wagombea wa ACT.

..ACT wamesimamisha mgombea mwanamama kwa kiti cha ubunge, na mgombea huyo ni msomi wa Masters Degree.
 
Back
Top Bottom