Kuna mgao wa umeme unaendelea unatesa sana

Kuna mgao wa umeme unaendelea unatesa sana

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
2,128
Reaction score
4,002
Sijui ni kote au huku tu. Wiki nzima hakuna umeme mchana. Kazi haziendi hata kidogo. Huyi waziri kuna kutu anakiweza kweli? Mgao unatoka wapi mwezi wa tatu?
 
Back
Top Bottom