kuna meneja wa music umu?

Jan 10, 2018
26
12
mi nafanya hip hop Nina flow tofauti hakuna msanii nnaefanana nae flow nko tofauti kama kuna mtu anaeitaji kusaport uwezo wangu naomba tuwasiliane ili aisikie kazi yangu nipo sirias wadau
unaweza kuiskiliza audio yangu YouTube channel yangu kwa kuandika MENE JEI

my nick name is Many jay the king
 
Tupia Youtube tuione kazi yako. Ni ushauri tu. Kazi ikionekana utatafutwa tu.
 
Umefanya vizuri! Unganisha taarifa hii kwenye andiko lako. Sio wote wanaosom maoni ya watu.
 
Pale nyumba pale gari pale msosi* Pale warembo ndio ndoto za mabosi inakuwaje* Kwa wewe jua la utosi?
Pale Mungu pale mganga pale Rosie* Akili yake pale ng'ombe wa masikini hazai.
 
mi nafanya hip hop Nina flow tofauti hakuna msanii nnaefanana nae flow nko tofauti kama kuna mtu anaeitaji kusaport uwezo wangu naomba tuwasiliane ili aisikie kazi yangu nipo sirias wadau
unaweza kuiskiliza audio yangu YouTube channel yangu kwa kuandika MENE JEI

my nick name is Many jay the king

Mdogo wangu nakushauri haraka sana na kama kweli unajiamini kuwa una uwezo kimbia upesi siku ya Jumatatu pale Clouds Media Group ulizia Mtangazaji yoyote wa Kipindi cha XXL kisha fanya nae mazungumzo kuhusu uwezo wako na kipaji chako au ukiweza pia nenda haraka pale THT Kinondoni maeneo ya Leaders Club onana na Dada mmoja hivi ( jina limenitoka ) ambaye ndiyo Msimamizi Mkuu na mpango mzima katika masuala ya muziki na uendelezaji wa Vipaji vya Wanamuziki na naamini hutotoka bure na ama utapata mwangaza fulani wa Kimuziki au watakusaidia na hatimaye kuweza kutimiza Ndoto yako Kimuziki.

Nikutakie tu kila la kheri na nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akubariki na akufungulie njia yako ya Kimuziki na ufanikiwe.
 
nashukuru sana kwa maombi yako amina mkuu na ushauri nimeupenda
 
mi nafanya hip hop Nina flow tofauti hakuna msanii nnaefanana nae flow nko tofauti kama kuna mtu anaeitaji kusaport uwezo wangu naomba tuwasiliane ili aisikie kazi yangu nipo sirias wadau
unaweza kuiskiliza audio yangu YouTube channel yangu kwa kuandika MENE JEI

my nick name is Many jay the king
Humu sio umu
 
Hiphop hailipi,ingekuwa za wakata viuno ungepata management chapchap..anway wish you lucky
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom