Thelathini amevuka lengo na lazima apande cheoRefer to the heading above, hayo yalikua ni mazungumzo ya JPM na Jamaa wa pale bandalini.
Yaani President anauliza kwa msisitizo ili kuonyesha kwamba Bado anakusanya hela ya kutosha.
Halafu anauliza tena kwamba Sasa wale waliokua wanasema Meli haziji hamna mizigo hizi ni nini?
Sikia Mkuu; Hata zije Meli 500 per day sisi hatuna wivu na hayo Makitu. Shida yetu ni "maendeleo", unapojisikia fahari kuingiza Meli nyingi jisikie fahari zaidi kutimiza budget ya Bunge 2016/2017.
Focus kwenye mambo yatayotufanya Raia tufunge midomo wenyewe automatic. Huhitaji kuongea mpaka unapata kiu ili kutuonyesha nini unafanya. Kama Kazi nzuri tutaiona tu na tutaisifia. Kama Kazi haionekani tutaona tu kwamba hapa work done is equal to Bashite.
Mwenye Macho Haambiwi ona.
Mwenye masikio Haambiwi sikia.
Mwenye midomo Haambiwi kula.
Mwenye bundle hawaambiwi Google.
Gudnyt all.. sikilizeni Ngoma ya Ney-wapooooo;
"Kwani unaundugu na Yesu?"(kwa sauti ya Ney wa mitego)
Inasemekana Kinana yupo hapa hapa mjini, umepewa taarifa?Umeandika, unashauri hata ka point kamoja kama hivi au vile haujashusha. Ili nae atikisike aseme hapa nipaangalie.
Mnatia aibu na ndio maana anasema mengi nyie yenu ya ovyooooooooooooo kabisa ovyo.
Hata angewapa kazi ya kumshauri au kuwaachia nchi mfano siku moja tu muiendeshe, mngeshindwa hata kidunchu.
Mjipange hamuwezi, mnajua udaku tu.
Magufuli oyeeee
Nchi sio wizara ni Lazima ajue Hilo. Ukishuka mteremko kwa free gear unahatari ya kupoteza Maisha.Maendeleo yataletwa kwa kuuza vitu vyetu nje,sio kuingiza.Kama anakusanya hela mbona hawatuambii makusanyo kama vile walivyofanya mwanzoni wakati wanakusanya Areas?
Labda siku Hizi mitubwi ya wavuvi imekuwa meli. Meli 30????!!!Refer to the heading above, hayo yalikua ni mazungumzo ya JPM na Jamaa wa pale bandalini.
Yaani President anauliza kwa msisitizo ili kuonyesha kwamba Bado anakusanya hela ya kutosha.
Halafu anauliza tena kwamba Sasa wale waliokua wanasema Meli haziji hamna mizigo hizi ni nini?
Sikia Mkuu; Hata zije Meli 500 per day sisi hatuna wivu na hayo Makitu. Shida yetu ni "maendeleo", unapojisikia fahari kuingiza Meli nyingi jisikie fahari zaidi kutimiza budget ya Bunge 2016/2017.
Focus kwenye mambo yatayotufanya Raia tufunge midomo wenyewe automatic. Huhitaji kuongea mpaka unapata kiu ili kutuonyesha nini unafanya. Kama Kazi nzuri tutaiona tu na tutaisifia. Kama Kazi haionekani tutaona tu kwamba hapa work done is equal to Bashite.
Mwenye Macho Haambiwi ona.
Mwenye masikio Haambiwi sikia.
Mwenye midomo Haambiwi kula.
Mwenye bundle hawaambiwi Google.
Gudnyt all.. sikilizeni Ngoma ya Ney-wapooooo;
"Kwani unaundugu na Yesu?"(kwa sauti ya Ney wa mitego)
Unadhihirisha jinsi unavyopenda udakuInasemekana Kinana yupo hapa hapa mjini, umepewa taarifa?
Umeandika, unashauri hata ka point kamoja kama hivi au vile haujashusha. Ili nae atikisike aseme hapa nipaangalie.
Mnatia aibu na ndio maana anasema mengi nyie yenu ya ovyooooooooooooo kabisa ovyo.
Hata angewapa kazi ya kumshauri au kuwaachia nchi mfano siku moja tu muiendeshe, mngeshindwa hata kidunchu.
Mjipange hamuwezi, mnajua udaku tu.
Magufuli oyeeee
Inasemekana Kinana yupo hapa hapa mjini, umepewa taarifa?
Labda siku Hizi mitubwi ya wavuvi imekuwa meli. Meli 30????!!!
Kipi alituahidi kuingiza meli nyingi Bandarini au Viwanda?
Za kunyapianyapia kashikiliwa na usalamaMimi sikuelewa ile lugha iliyotumika kuwa 'amemtuma India kwenye matibabu'. Au alimaanisha kuwa 'amempeleka' India kwa ajili ya matibabu.