Kuna mdada kakosea kutuma hela nifanyaje?

Good people
 
Kwanza mpaka mda huu tunaongea kama hujaitoa itakuwa ilisharudishwa tayari
 
Acha wivu
 
Kwanza mpaka mda huu tunaongea kama hujaitoa itakuwa ilisharudishwa tayari
Nishatoa tayr sema lain yangu ni ya lipa sna option ya kutuma pesa na sna uzoefu nayo wakifungia wafungie muda nataka niende kabwe kuchukua kipeto cha mchele
 
Hawajanitafuta toka asubh wacha nikanunue mchele sido
 
Sijaeleza maumivu yangu popote but nimekuuliza tu hayo maelezo yanahusianaje na mada? na nikarecommend ungeweka uzi mwingi kuonesha ulivyopata hizo maksi 10
Hvo ni tabia za kike acha mara moja
 
Hela ya wizi unaeenda kununua mchele umlishe mkeo mjamzito?...stuka mkuu unatengeneza janga.
Wizi gani hapo nimefanya nimesubr wanitafute hola wacha nilebata labda ndo rzik yang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…