Mapigo Saba
Senior Member
- Dec 11, 2014
- 129
- 28
Kwani hutumii luku
go to tanesco
Halafu kama bado upo analogia kuwa na utaratibu wa kuandika units kila mwezi
Kwanza Nitangulize pole Sana, Hizi ndio sign za serekali na chama chake cha mafisadi kinavyokufa. Tushirikiane kukiondoa ccm MadarakaniBill ya umeme ya mwezi wa Kwanza ambayo imekuja mwanzoni mwa mwezi huu wa pili imewaacha watu hoi na nilidhani matumizi ya nyumbani kwangu ndo yamekuwa makubwa na kuanza kuwafokea watoto, kumbe ni kila kona ni kilio, kila mwezi bili yangu ya umeme ilikuwa inarange 5000-5500, LAKINI cha kushangaza bill imekuja 85,600/= nikajaribu kuuliza wenzangu kwa maana ya majiarani wakasema na wao imekuja kubwa sana, mmoja imekuja 94,650/= na mwingine 59,700/-
Huu ni uhuni wa serikali kwa Tanesco, yawezekana pesa ya uchaguzi inatafutwa sana hapa, au, kwa kuwa pesa ya kununulia vifaa vya BVR kits haipo na serikali imefirisika sasa inajaribu kufa na wananchi wake.
Acheni huu mchezo.
Bill ya umeme ya mwezi wa Kwanza ambayo imekuja mwanzoni mwa mwezi huu wa pili imewaacha watu hoi na nilidhani matumizi ya nyumbani kwangu ndo yamekuwa makubwa na kuanza kuwafokea watoto, kumbe ni kila kona ni kilio, kila mwezi bili yangu ya umeme ilikuwa inarange 5000-5500, LAKINI cha kushangaza bill imekuja 85,600/= nikajaribu kuuliza wenzangu kwa maana ya majiarani wakasema na wao imekuja kubwa sana, mmoja imekuja 94,650/= na mwingine 59,700/-
Huu ni uhuni wa serikali kwa Tanesco, yawezekana pesa ya uchaguzi inatafutwa sana hapa, au, kwa kuwa pesa ya kununulia vifaa vya BVR kits haipo na serikali imefirisika sasa inajaribu kufa na wananchi wake.
Acheni huu mchezo.
Hayo matumizi yako kwa mwezi kiboko!
Unachoongea siyo kweli. Mimi natumia Luku name huwa nanunua hata wa ellfu 1mimi situmii Luku natumia mita tu, hayo maluku ni wizi wakuu, kwani bila kuwa na kuanzia na 10000 hupati umeme, lakini mita hata 4000 umeme unao.
anachoongea ni cha kweli. ni kama wamepandisha bei ya umeme vile. umeme sasaivi ni garama sana sana. jamani tanesco wapunguze kidogo kwa kweli. mimi nilijua kwangu tu, kumbe na kwa wenzangu. na jinari zangu fulani wapangaji niliwakuta wanagombana hadi wanasachiana wanafikiri labda mwenzao anatumia vitu vinavyokula umeme zaidi.Unachoongea siyo kweli. Mimi natumia Luku name huwa nanunua hata wa ellfu 1