EricMan JF-Expert Member Oct 5, 2017 1,909 3,250 Dec 31, 2023 #41 Yes n 24 hapo namaanisha umeme wa elf 3 bila makato ya buku jero maan hua kila trh moj nawap kwanza buku jero yao then apo kat nkinunua wa 3k hawakat iMute said: Wewe haukatwi Sh.1,500 ya kila mwezi? Sh.3,000 kama wangekuwa hawakati Sh.1,500 ilibidi upate 24 Kwh kwa mtumiaji wa tariff ZERO. Check tena namba zako kuna kitu hakiko sahihi Click to expand...
Yes n 24 hapo namaanisha umeme wa elf 3 bila makato ya buku jero maan hua kila trh moj nawap kwanza buku jero yao then apo kat nkinunua wa 3k hawakat iMute said: Wewe haukatwi Sh.1,500 ya kila mwezi? Sh.3,000 kama wangekuwa hawakati Sh.1,500 ilibidi upate 24 Kwh kwa mtumiaji wa tariff ZERO. Check tena namba zako kuna kitu hakiko sahihi Click to expand...