Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,406
aisee iyo kitu acha kabisa mimi niliamua kujitenga chooni kwenye sink ili nisisumbuke
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee iyo kitu acha kabisa mimi niliamua kujitenga chooni kwenye sink ili nisisumbuke
Bora hyo castor oil..hiko kimbegu sio kuharisha tu unatapika na kichefuchefu juu unaweza ata ukalazwaKama shida yaku nikusafisha tumbo, kanunue Castor oil, haimizi tumbo, utaharisha vyakutosha kulingana na kiasi ulicho kunywa,
Vijiko viwili vikubwa vinakutosha, haya mafuta yanauzwa maduka ya dawa baridi na bei yake ni poa tu,
hiko kimbegu hatariiiNiliwahi kutumia hii dawa. Halafu nilimeza vimbegu viwili jamani mwenzenu. Nilikaa chumbani kwangu naingia chooni kila baada ya sekunde kumi mwishowe nikavua nguo zote nikawa uchi muda wa kuvua hata kanga mwilini ulikuwa hautoshi unaweza shtukia vitu vimeshuka mapajani .
Tena niliambiwa niandae na yale madawa maalum ya watu wanaohara yanaitwa "oral" sijui nilikuwa na jug mbili zimejaa hayo maji. Yaani nikimaliza kunywa glass moja ni safari ya kukimbia chooni Baada ya masaa matatu nilihisi naaga dunia nguvu ziliisha na sauti ikagoma. Nikitazama sink la chooni naharisha maji meupe kama kipindupindu hata hayana harufu. Nikajua hapo sasa namaliza stock ya maji ya mwilini nilitambaa hadi jikoni uchi kutafuta maji ya baridi kwenye fridge ndio pona yangu.
Ile kama utani tu unaweza kuondoka duniani kiulaini tu
aisee hatari sana hiyo kitu *****, first time nlikula tumbo likaanza kuunguruma sauti za ajabu like kuna mdudu tumboni, si nkatest kujamba kumbe maronyoso ndo yalikuwa njiani aisee ushuz ulinuka sana hapo hapo nkawah toi kutest kujamba tena koki ikafunguka yalitoka kwa spidi ya tsunami!
utakua ulijiharishia kwenye gari wwSitasahau siku nimepita jion ubungo nikakuta watu wanauza hizo dawa za kusafisha tumbo nikanunua then asubuhi nikamix yote kwenye soup nikagonga. Nikaingia kwenye bus tayari kwa safari ya kuelekea Iringa Laahaula kufika maili moja blow down valves zikaanza kutuma signal na konda ananiambia hasimami... Sitasahau ile siku kwakweli.
walahy nimecheka sanaNiliwahi kutumia hii dawa. Halafu nilimeza vimbegu viwili jamani mwenzenu. Nilikaa chumbani kwangu naingia chooni kila baada ya sekunde kumi mwishowe nikavua nguo zote nikawa uchi muda wa kuvua hata kanga mwilini ulikuwa hautoshi unaweza shtukia vitu vimeshuka mapajani .
Tena niliambiwa niandae na yale madawa maalum ya watu wanaohara yanaitwa "oral" sijui nilikuwa na jug mbili zimejaa hayo maji. Yaani nikimaliza kunywa glass moja ni safari ya kukimbia chooni Baada ya masaa matatu nilihisi naaga dunia nguvu ziliisha na sauti ikagoma. Nikitazama sink la chooni naharisha maji meupe kama kipindupindu hata hayana harufu. Nikajua hapo sasa namaliza stock ya maji ya mwilini nilitambaa hadi jikoni uchi kutafuta maji ya baridi kwenye fridge ndio pona yangu.
Ile kama utani tu unaweza kuondoka duniani kiulaini tu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂aisee hatari sana hiyo kitu *****, first time nlikula tumbo likaanza kuunguruma sauti za ajabu like kuna mdudu tumboni, si nkatest kujamba kumbe maronyoso ndo yalikuwa njiani aisee ushuz ulinuka sana hapo hapo nkawah toi kutest kujamba tena koki ikafunguka yalitoka kwa spidi ya tsunami!
Mungu wangu! nadhani unastory ya kutusimuliaSitasahau siku nimepita jion ubungo nikakuta watu wanauza hizo dawa za kusafisha tumbo nikanunua then asubuhi nikamix yote kwenye soup nikagonga. Nikaingia kwenye bus tayari kwa safari ya kuelekea Iringa Laahaula kufika maili moja blow down valves zikaanza kutuma signal na konda ananiambia hasimami... Sitasahau ile siku kwakweli.
Nimeharisha sana leo. Nikitaka kuziba kuharisha nifanyeje?
Ndizi inasaidia sana
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ndizi mbivu? Asante. Ninazo ndan.
Kwan ni vimbegu gan hivyoUkitumia dawa hii hakikisha unakua na machungwa pembeni, utakapohisi umechoka kuharisha kula machungwa itakata hapohapo na utajiskia poa.
Hii niliwahi kuinunua ila sijata ujasiri wa kuitumiaSio habbat mulk hiyo?