Kuna mbegu nimenunua eti inasafisha tumbo na kuondoa sumu, bado sijaitumia nataka ushauri kwanza

Kama shida yaku nikusafisha tumbo, kanunue Castor oil, haimizi tumbo, utaharisha vyakutosha kulingana na kiasi ulicho kunywa,

Vijiko viwili vikubwa vinakutosha, haya mafuta yanauzwa maduka ya dawa baridi na bei yake ni poa tu,
Bora hyo castor oil..hiko kimbegu sio kuharisha tu unatapika na kichefuchefu juu unaweza ata ukalazwa
 
Niliwahi kutumia hii dawa. Halafu nilimeza vimbegu viwili jamani mwenzenu. Nilikaa chumbani kwangu naingia chooni kila baada ya sekunde kumi mwishowe nikavua nguo zote nikawa uchi muda wa kuvua hata kanga mwilini ulikuwa hautoshi unaweza shtukia vitu vimeshuka mapajani .
Tena niliambiwa niandae na yale madawa maalum ya watu wanaohara yanaitwa "oral" sijui nilikuwa na jug mbili zimejaa hayo maji. Yaani nikimaliza kunywa glass moja ni safari ya kukimbia chooni Baada ya masaa matatu nilihisi naaga dunia nguvu ziliisha na sauti ikagoma. Nikitazama sink la chooni naharisha maji meupe kama kipindupindu hata hayana harufu. Nikajua hapo sasa namaliza stock ya maji ya mwilini nilitambaa hadi jikoni uchi kutafuta maji ya baridi kwenye fridge ndio pona yangu.

Ile kama utani tu unaweza kuondoka duniani kiulaini tu
hiko kimbegu hatariii
 
aisee hatari sana hiyo kitu *****, first time nlikula tumbo likaanza kuunguruma sauti za ajabu like kuna mdudu tumboni, si nkatest kujamba kumbe maronyoso ndo yalikuwa njiani aisee ushuz ulinuka sana hapo hapo nkawah toi kutest kujamba tena koki ikafunguka yalitoka kwa spidi ya tsunami!
 
Sitasahau siku nimepita jion ubungo nikakuta watu wanauza hizo dawa za kusafisha tumbo nikanunua then asubuhi nikamix yote kwenye soup nikagonga. Nikaingia kwenye bus tayari kwa safari ya kuelekea Iringa Laahaula kufika maili moja blow down valves zikaanza kutuma signal na konda ananiambia hasimami... Sitasahau ile siku kwakweli.
utakua ulijiharishia kwenye gari ww
 
Nishapata funzo kitambo huwezi amini niliuziwa hivyo nilihara na kutapika mpaka nikaona sijatendewa haki,nafuu yangu niliponea maziwa.Yangu inaweza isiwe kama hiyo maana hata jina siikumbuki,lakini kwa ushauri tumia dawa mpaka uumwe na ufike hospitali utakuja kununua sumu kwa dawa zisizo thibitishwa sa kwa mfano huyo hata akikuuzia sumu utamshtaki wapi?
 
Niliwahi kutumia hii dawa. Halafu nilimeza vimbegu viwili jamani mwenzenu. Nilikaa chumbani kwangu naingia chooni kila baada ya sekunde kumi mwishowe nikavua nguo zote nikawa uchi muda wa kuvua hata kanga mwilini ulikuwa hautoshi unaweza shtukia vitu vimeshuka mapajani .
Tena niliambiwa niandae na yale madawa maalum ya watu wanaohara yanaitwa "oral" sijui nilikuwa na jug mbili zimejaa hayo maji. Yaani nikimaliza kunywa glass moja ni safari ya kukimbia chooni Baada ya masaa matatu nilihisi naaga dunia nguvu ziliisha na sauti ikagoma. Nikitazama sink la chooni naharisha maji meupe kama kipindupindu hata hayana harufu. Nikajua hapo sasa namaliza stock ya maji ya mwilini nilitambaa hadi jikoni uchi kutafuta maji ya baridi kwenye fridge ndio pona yangu.

Ile kama utani tu unaweza kuondoka duniani kiulaini tu
walahy nimecheka sana
😂😂😂😂😂
 
aisee hatari sana hiyo kitu *****, first time nlikula tumbo likaanza kuunguruma sauti za ajabu like kuna mdudu tumboni, si nkatest kujamba kumbe maronyoso ndo yalikuwa njiani aisee ushuz ulinuka sana hapo hapo nkawah toi kutest kujamba tena koki ikafunguka yalitoka kwa spidi ya tsunami!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Sitasahau siku nimepita jion ubungo nikakuta watu wanauza hizo dawa za kusafisha tumbo nikanunua then asubuhi nikamix yote kwenye soup nikagonga. Nikaingia kwenye bus tayari kwa safari ya kuelekea Iringa Laahaula kufika maili moja blow down valves zikaanza kutuma signal na konda ananiambia hasimami... Sitasahau ile siku kwakweli.
Mungu wangu! nadhani unastory ya kutusimulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vimbegu kama vikaranga hivi nilikosa choo nikaambiwa nimeze nusu tu sababu ya uzito wangu aisee ni zaidi ya mateso ni usisimame wala usikae ni kuunga bando la chooni full kutapika mate ya ukakasi kha! nilihisi naaga dunia ikabidi niite ndugu yangu anitaftie coca baridi ndo kuacha ila niliporomoka uzito ndani ya masaa mpaka kutembea sikuweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom