Kuna mbegu nimenunua eti inasafisha tumbo na kuondoa sumu, bado sijaitumia nataka ushauri kwanza

permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
5,442
2,000
Sitasahau siku nimepita jion ubungo nikakuta watu wanauza hizo dawa za kusafisha tumbo nikanunua then asubuhi nikamix yote kwenye soup nikagonga. Nikaingia kwenye bus tayari kwa safari ya kuelekea Iringa Laahaula kufika maili moja blow down valves zikaanza kutuma signal na konda ananiambia hasimami... Sitasahau ile siku kwakweli.
Mkuu hebu malizia hii habari
 
Sheffer95

Member
Mar 16, 2020
48
150
Jamani nahitaji na mm hizo dawa ili nisafishe kidogo tumbo langu maana sometimes huwa linanisumbua
Kwa hapa Geita naweza Pata wapi?!
Na je nitumie ipi Kati ya hizi
Habari muluki
Castro oil
Au nikaulize kwenye maduka ya dawa za asili😳😳
 
Troyes

JF-Expert Member
Aug 1, 2018
835
1,000
Mkuu inachukua muda gani kumaliza manake nataka kutumia mida hii. Kesho niingie kazini au nitumie weekend? Ushauri please
Tumia weekend mzee maana iyo kitu tunajua tuliowah itumia lol, ila km ungekua bdo upo pande izo za mwanza ningekuelekeza moja ambayo ni the best kwa uhitaji wako ni close substitute ya hiyo mbegu, japo yenyewe ni ya Unga na ipo certified na TBS ni dawa ya mitishamba
 
Troyes

JF-Expert Member
Aug 1, 2018
835
1,000
Pia TFDA wameithibitisha

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,242

Nielekeze mkuu nipo ukanda huu
 
Troyes

JF-Expert Member
Aug 1, 2018
835
1,000
Hivyo vimbegu kama vikaranga hivi nilikosa choo nikaambiwa nimeze nusu tu sababu ya uzito wangu aisee ni zaidi ya mateso ni usisimame wala usikae ni kuunga bando la chooni full kutapika mate ya ukakasi kha! nilihisi naaga dunia ikabidi niite ndugu yangu anitaftie coca baridi ndo kuacha ila niliporomoka uzito ndani ya masaa mpaka kutembea sikuweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Izo mbegu azifai maana zenyewe ad unatapika pia
 
Troyes

JF-Expert Member
Aug 1, 2018
835
1,000
Ipo dawa moja inaitwa AFYA FASTA BUNDUKI inapatikana kwny maduka ya dawa asili especially yale ya kiislam mfano duka la msikiti wa buzuruga shule ipo kikopo kimoja kinauzwa 5,000 ni nzuri sana mkuu ukiitumia utatoa uchafu wa kila aina tumboni na baada ya hapo utajiona km umezaliwa upya, sikuamin first time nilipoitumia nliona changes kubwa sana mfano utaanza kula vzr ata km ulikua na tatzo la kukosa hamu ya kula, inaondoa uchovu wa mwili, viungo vya mwili km vilikua vinauma hutosikia tena. In short ni dawa nzuri mi npo dar nmejaribu kuitafuta sana huku sijaipata

Shukrani mkuu ngoja nifanye mpango nitembelee maeneo hayo kuichek
 
MzeeMpya

JF-Expert Member
Dec 19, 2019
372
500
Mbegu za kusafisha tumbo zipo aina nyingi. Ni vyema usitumie dawa ya mti shamba bila kua na mawasiliano ya uhakika na ule muuzaji. Panaweza kutokea matatizo upelekwe hospitali ushindwe kujua umetumia nini.
 
Lilian Steven

New Member
Dec 28, 2020
3
20
Salaam wana JF

Kwa wale wasafiri wa kanda ya ziwa hasa kutokana Mwanza kwenda mikoa mingine mtakua mashahidi kwa hili.

Kuna watu wanapanda kwenye basi kuanzia pale Shinyanga na kushukia Tinde au Nzega, watu hawa wamekua wakiuza Dawa mbalimbali za asili(Tiba mbadala).

Sasa Jana wakati nasafiri aliingia jamaa mmoja Ustadhi kwenye basi letu na kuanza kutangaza kuhusu Dawa anazouza.

Kuna moja ilinivutia, ni mbegu fulani kwa jina nimesahau,vmuuzaji akadai mbegu hiyi unaitafuna na kushushia na maji baada ya muda utaanza kuhisi hali tofauti mdomoni na tumboni kutaanza kuunguruma hapo sasa utaenda chooni kuharisha na utashuhudia uchafu mwingi ukitoka.

Akaenda mbali zaidi na kusema ili uamini jitahidi uharishie kwenye beseni uone mavitu yatakayotoka tumboni.

Abiria wengi walinunua nami nikashawishika kuinunua hiyo mbegu.

Sasa bado sijaitumia naomba kama kuna ambaye aliwahi kutumia hii mbegu atiririke hapa uzoefu alioupata baada ya kuitumia.

Ni hayo tu wakuu.
Mimi naomba kujua Kama hizi mbegu Zina madhara yyt endapo mtu mjamzito akitumia mimba ikiwa ndogo labda mwezi mmoja Kama kutakuwa na hatari ya kutoka kwa mimba maana nilinunua hizi mbegu Kama kumi kwenye nyahunge ya mwanza Kuna mdada anasema apati choo alaf minyoo mingi nataka nimpe lkn naogopa nisije nikazua tatizo.
 
Lilian Steven

New Member
Dec 28, 2020
3
20
Mi naomba kujua Kama ukinywa hiyo alaf ukawa mjamzito wa mimba ndogo labda mwezi itahatarisha mimba kutoka? Nataka kumpa mtu atumie lkn ni mjamzito wa week tatu tu Nahofia nisije zua balaa lingine alaf nilinunua tu kwenye gari hata aikuuliza HV.
 
Mr. JF

Member
Dec 14, 2015
64
125
Salaam wana JF

Kwa wale wasafiri wa kanda ya ziwa...
Umeenda hospitali ukaambiwa tumbo lako linahitaji kusafishwa??? Au una sumu uitoe?

Msipende kujitafutia future health problems kwa kutumia kila unachopewa!

Ushauri wangu, kunywa maji ya kutosja kila siku, tumia mapapai kwa wingi, kula mabamia, na fanya mazoezi, sumu inatoka kupitia jasho na mkojo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom