Kuna matatizo makubwa ya umeme PSPF Plaza Dodoma

Kuwa makini mkuu. Wahudumu wengi huwa wanatokea mlango wa nyuma, baada ya kufunga baa kukwepa watu waliowatongoza na kula bia zao...!!! No wonder na yeye ni mmoja wao...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
yule mtoto ni mwema kweli, na amenipokea sijajua km ni tabia zake, na amenielekeza mpaka kwake na mwenye nyumba namfahamu, sema, mm ndiye nilikimbia kamejazia sana hasa mzigo na ufupi hawa watu huwa hawashindwi 6x6 ningechelewa kwa wife, nimemuahidi kinywaji kwa sana nikirudi si kachoyo kwa wema/huduma
 
Back
Top Bottom