Kuna mapenzi na kujitoa sadaka

Kuna mapenzi na kujitoa sadaka

Daaah kuna mtu nilishawai kusikia akisema unaweza ukawa unaongea mbele ya watu 1000 lakini amini kua yupo mtu mmoja unamgusa

Ujumbe wako umenigusa kunifundisha na kunishtua kutoka kwenye dimbwi la mawazo

Kiufupi kuna binti nina mpenda mwezi wa 5 sasa nafukuzia hanaga majibu ya kuekeweka ukimtafta ana respond full ingawa hawezi kukutafta hata siku moja labda awe na shida

Kinacho niuzi ni tabia yake yakujifanya mko pamoja then siku zina kata duuu

Ubarikiwre sana broo for sure you have changed ma mind
 
Back
Top Bottom