Kuna mapenzi kweli hapa

Akikuoa alafu usizae.. Alafu ukute wakristu
 
Ni kipi hasa kinachokufanya ugome kutoa mzigo kabla ya ndoa? Assume huyo bwana anataka ajipange vizuri kabla ya kuoa na labda plan ni kufunga ndoa baada ya miaka miwili - unataka asimege kwa muda wote huo au umemruhusu awe na mpango wa kando until siku anakuoa?

Usikubali kubeba mimba. Kama ni mchumba official na anatambulika kwenu, we mpe tunda amege mdogomdogo tu. Hakuna namna.
 
Ulianza vizuri mwisho umemaliza vibaya futa hiyo aya ya mwisho (nimependa ushauri wako kwake)
 
Ww ni virgin kwanza??
Ataamin vp???

Mpe apple hilo aprove

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…