Kuna mapenzi kweli hapa

Mambo ya ndoa siku hizi yanachanganya kiasi kwamba unaweza kushauri kumbe unapoteza,'kijamaa' ndoa ilikuwa kusubiri,kupiga pasi nyingi na kufunga goli baada ya 'muvu' tamu na kuzaa ndani ya ndoa.'kibepari' fomesheni ziko nyingi mno... mno kitu muhimu ni ushindi tu siri ya mchezo muipange wenyewe.
 
Utak ushaul sawa hla km unajua we sio bikira jua akikubali ombi lako na akakuta ni uanja wa taifa ujue hyondoa haitakalika.
 
 
Watu wa namna yako huwa hata sitaki ukaribu na nyie. Mnakuwa wanafki mnoo! Unamnyima bwana ako ulienae unakipeleka kwa ex wako
 
Mpendwa kaza hivyo hivyo usipende kila mtu akufunue. Mwanamke stara na kujiheshimu
 
Ni vizuri ikaeleweka kuwa tunapoingia kwenye mahusiano ni muhimu kuwa na majadiliano yatakoyoleta msimamo wa pamoja, ukiona unataka kubaki kuwa na msimamo wako tu, wala usiingie kwenye mahusiano utaumia na kuumiza mwenzio
 
Bikira sio reason ya kukataa sex, hata nisingekuwa stl kama makubaliano yalikuwa kutokufanya sex until marriage ningeyasimamia. Wakimbie tu.
Wakimbie tu?Sasa umri nao si unasonga mbele?Ukifikisha zaidi ya miaka 32 utaolewa na mzee wa miaka 50+.
 
"hana tundu,jinsia tatanishi"
 
Wanawake kama nyinyi ni hatari sana......utakuta Kilometa zimesoma sana.......hamfai hata kidogo.
 
kwani shida nini wew kama wampenda mzalie tu, ts smpl
 
Baki Na msimamo wako usikubali kuzaa kabla ya ndoa Kama uwezo wa Kulea mtoto anao anashindwa nn kuoa ili mlee pamoja huyo mtoto? Huyo sio muoaji Na hata akikuzalisha jiandae kulea mtoto peke yako
 
Mapenzi yapo... Sema mna different perspective on how to handle hiyo mapenzi.
 
halafu amekutana na jamaa naye mjanja
 
Haya mwaya msimamo mzuri endelea hivyohvyo wasikuchungulie kidyudyu chako wakakuacha buure teh! Kitunze !ila angalia kisiliwe na nyenyere! Teh teh teh!
 
Hongera kwa kutoa ya moyoni nadhani hasira zako zimeisha sasa, we subiri tu uje kuolewa na mtu ambaye haendi mnara hapo ndo utakumbuka wale waliokuomba mmegane kabla ya ndoa
 
ha ha haaa kweli jf raha tu! mwingine anatoa hasira wengine twaburudika! kitunze mwaya kdyudyu chako..ipo siku ukifika 30 ndo utakigawa kwa nguvu!
 
Tupa kule, labda kama unataka u-baby mama. Tena wanawataka wanawake wanaojitegemea ili wawazalishe maana hata wakiwatelekeza watoto wao watalelewa mazingira mazuri. Shikilia msimamo mama, anune tu kuliko maumivu atakayokuachia.
Marafiki wa kiume nao ni wale wale tu wanavizia kupata kujifaidisha, anajifanya yeye ana tofauti. Maneno yako kuhusu x hayamzuii kukufanyia ushenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…