T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,936
- 30,099
Hahaha shake well before use haitaki huyu mdadaUsizae kabla ya ndoa mdogo wangu never! Huyo hana mpango wa kukuoa! Kuna mbwa mmoja alitaka kufanya hivyo kwa mdogo wangu nilitaka kumua! Kugongana kabla ya kuoana ni sawa wala usimbanie kwa sababu hutapata mwanaume atakayekuoa kabla ya kusex ila kubeba mimba sikushauri
Halaf nikuulize unagoma kugongwa kabla ya ndoa kwa sababu unajua k yako mbaya inanuka utaachwa au? Kwahiyo unataka kumuuzia mbuzi kwenye gunia? imekula kwako hakuna atakayekubali huo ujinga
For sure hizi mambo zinafurahisha and am surprised hii kitu nimeikuta pia sehem mtu hataki kusex before marriage kumuuliza kisa cha kuachana na mtu wake mwngne hakuna sababu ya msingi nikauliza vp huyo hamkuwahi pia kusex jibu ni kwamba mechi zilikuepo za kutosha, sasa swali langu my dear dada hii ni kutokana nakuona kwmb mechi za mchangani ambazo hazipandi daraja ni nying sana kiasi kwamba kiwango kinapotea bila mafanikio ama nini? samahani lakiniMimi ni msichana mwenye umri wa kuolewa na kuwa mama kabisa. Nina mahusiano ambayo tulipanga mwakani tufunge ndoa. Kabla ya kuwa na uhusiano na mpenzi wangu wa sasa nilikuwa na uhusiano ambao tulishindwana sababu ya mimi kukataa sex mpaka ndoa, mwenzangu akashndwa uvumilivu akawa na mahusiano mengne ambayo yalipekea uhusiano wetu kufa.
Mpenz wangu wa sasa alikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu sana na twajuana mambo mengi na stand yangu anaijua na kabla sijaanza nae mahusiano nilimwambia reason ya kubreak up na x wangu nae akawa tayari kusubiria mpaka ndoa.
Tatizo sasa yeye zaidi ya kutaka sex anataka na mtoto kabla ya ndoa na ndio hadithi ya kila siku na nikimkatalia nikimwambia zaidi ya kuwa sifanyi mapenzi kabla ya ndoa mtoto ndio asahau.Kama anataka mtoto anioe.
Ananiambia kuoa mpaka ajipange ila uwezo wa kulea mtoto anao.
Hivi hapa kakasirika toka juzi hatujawasiliana kisa nilimwambia siwez kupita mbele ya baba na kaka zangu na tumbo mbele wakat sijaolewa, eti nawajali ndugu zangu kuliko yeye kwanza si naish kwangu hao ndugu zangu naweza wakwepa hadi nikajfungua.
NB: Nimeleta hapa siombi ushauri kwa sababu tayari naujua msimamo wangu natoa tu ya moyoni nipunguze hasira kwa sabubu siwezi kumwadithia mtu.
Mkuu si kasema amekuja kupunguza hasira jfSasa kama uamzi unao umekuja kufanya nn hapa
Kwa hiyo baada ya kuandika hasira zimekwisha okMkuu si kasema amekuja kupunguza hasira jf
Kwa hiyo baada ya kuandika hasira zimekwisha ok
Kumbe ni bikra, ngoja nije kukuoa uwe mke wa pili.Ndio. Though hata nisngekuwa makubaliano yetu ya awali yalitakiwa kufuatwa.
Duuh!! mkuu una maneno makali mnoUsizae kabla ya ndoa mdogo wangu never! Huyo hana mpango wa kukuoa! Kuna mbwa mmoja alitaka kufanya hivyo kwa mdogo wangu nilitaka kumua! Kugongana kabla ya kuoana ni sawa wala usimbanie kwa sababu hutapata mwanaume atakayekuoa kabla ya kusex ila kubeba mimba sikushauri
Halaf nikuulize unagoma kugongwa kabla ya ndoa kwa sababu unajua k yako mbaya inanuka utaachwa au? Kwahiyo unataka kumuuzia mbuzi kwenye gunia? imekula kwako hakuna atakayekubali huo ujinga