Kasema hataki ushauriKimbia sana
Kama hutaki ushauri ungekaa kimya tuu hutaki hutaki ina maana ww ni bikiraUkiwa unajua kusoma vizuri nadhan jibu lnapatikana uliposoma sitaki ushaur, unles kama umesomewa.
Usizae kabla ya ndoa mdogo wangu never! Huyo hana mpango wa kukuoa! Kuna mbwa mmoja alitaka kufanya hivyo kwa mdogo wangu nilitaka kumua! Kugongana kabla ya kuoana ni sawa wala usimbanie kwa sababu hutapata mwanaume atakayekuoa kabla ya kusex ila kubeba mimba sikushauriMi n mschana mwenye umri wa kuolewa na kuwa mama kabisa, nina mahusiano ambayo tulipanga mwakani tufunge ndoa. Kabla ya kuwa na uhusiano na mpenzi wangu wa sasa nilikuwa na uhusiano ambayo tulishndwana sababu ya mim kukataa sex mpaka ndoa, mwenzangu akashndwa uvumilivu akawa na mahusiano mengne ambayo yalipekea uhusiano wetu kufa. Mpenz wangu wa sasa alikuwa rafk angu kwa muda mrefu sana twajuana mambo meng na stand yangu anaijua na kabla sijaanza nae mahusiano nilimwambia reason ya kubreak up na x wangu nae akawa tayari kusubiria mpaka ndoa, tatizo sasa yeye zaidi ya kutaka sex anataka na mtoto kabla ya ndoa na ndio hadth ya kila siku na nikimkatalia nkimwambia zaid ya kuwa sifany mapenz kabla ya ndoa mtoto ndio asahau anataka mtoto anioe, ananambia kuoa mpaka ajipange ila uwezo wa kulea mtoto anao, hv kakasirika toka juz hatujawasiliana kisa nlimwambia siwez kupita mbele ya baba na kaka zangu na tumbo mbele wakat cjaolewa, eti nawajal ndugu zangu kuliko yeye kwanza c naish kwangu hao ndugu zangu naweza wakwepa had nkajfungua.
N.b Nimeleta hapa siombi ushaur kwa sababu tayar naujua msimamo wangu natoa tu ya moyoni nipunguze hasira kwasabu siwezi kumwadithia mtu.
Usizae kabla ya ndoa mdogo wangu never! Huyo hana mpango wa kukuoa! Kuna mbwa mmoja alitaka kufanya hivyo kwa mdogo wangu nilitaka kumua! Kugongana kabla ya kuoana ni sawa wala usimbanie kwa sababu hutapata mwanaume atakayekuoa kabla ya kusex ila kubeba mimba sikushauri
Halaf nikuulize unagoma kugongwa kabla ya ndoa kwa sababu unajua k yako mbaya inanuka utaachwa au? Kwahiyo unataka kumuuzia mbuzi kwenye gunia? imekula kwako hakuna atakayekubali huo ujinga
Hatojutia lolote usimfanye binti was watu aji feel yuko na responsibility kwa hyo mwanaumeAcha hadithi za miaka ya 70 hii ni dunia nyingine mtu ambae hayuko tayari kwenda sawa na dunia yaa leo awezi fanikiwa kwa jambo lolote kaa na jamaa ongeen vzr uku ukiacha akil yako huru usikie msimamo wake utakuja kujuta
Ndio. Though hata nisngekuwa makubaliano yetu ya awali yalitakiwa kufuatwa.